galaw
Member
- Oct 1, 2016
- 13
- 29
Ushindi waliopata UKAWA katika jiji la Dar es salaam kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015 walipaswa kuwa makini kumpata aina ya mtu anaeweza kuubeba ushindi ule ili kuwa Meya.
Meya aliyepo kwa sasa hatoi taswira kama jiji hili lilipiga kura nyingi kwa UKAWA hivyo wananchi wake kuonja matunda ya kuwa chini ya UKAWA.
Meya mipango yake haifahamiki.
Meya hajulikani anafanya kazi zipi.
Meya hafahamiki anasimamia nini.
Wakati mwingine mtu apewe nafasi fulani kwa mkakati maalumu.