UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

Acha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia taka

aisee...umekuwa mburula zaidi

vitu vingine kuliko kuji expose akili zako ni bora kukaa kimya

nyie ndio mnaishi na vinyesi na masterbedroom yako ina choo cha shimo
 
Ifike mahali kodi tunayolipa itumike kushuhulikia swala la usafi.
Unakoelekea utasema kodi unayolipa itumike kushughulikia usafi wa mwili wako...yaani kukuchambia

Usafi unaanza na wewe kwanza na hilo ndilo Makonda anasisitiza...ukila ndizi ganda lake weka kwenye dustbin na sio kurusha barabarani...
 
Hawa jamaa sijui nani yupo kwenye bongo zao
Du! Naamini ni wana siasa VILAZA dunia nzima kuwahi tokea

Msiotaka kujua ukweli kuhusu usafi wa jiji mtawalaumu Ukawa lakini mngejua pesa zenu zinavyoliwa mngeshika akili,mwenzenu Makonda ameshaligundua hilo.
 
Kuna tofauti ya walioenda kufagia tiles leaders na waliofanya usafi Segerea
 

Attachments

  • 1462082767207.jpg
    116.6 KB · Views: 56
Msiotaka kujua ukweli kihusu usafi wa jiji mtawalaumu Ukawa lakini mngejua pesa zenu zinavyoliwa mngeshika akili,mwenzenu Makonda ameshaligundua hilo.
Hujitambui wewe
Kama mwanaume utupe hovyo taka
Utolewe kwanza kishipa
Maana Upumbavu umewatawala
 
Bora vivo kuliko kuishi na mizoga ya lumumba

no wonder! mizoga ile unayo mika akumi ijayo mkuu! huna namna bali kuwa mpole tu! maana hizi dua za kuku wala hazisaidii

ungesema tatizo la hilo zoezi ni nini...hili liboreshwe

1. madampo hakuna dar
2. dustbins hakuna dar
3. magari ya kuzoa taka n.k ni kama havipo

amefanya good initiation ila bado anatakiwa kwenda another mile!! inawezekana tukiwa na nia

ni nchi yetu, mji mwetu, wageni wakija tunaaibika wote,

hizo chuki zako za uchaguzi hazina nafasi unajionyesha ulivyodhaifu

watoto wako na mme wako wako nchi hii na mji huu( sorry kama hauko sumbawanga)

issues za Lumumba ( au kuandika neno tu Lumumba) hakukufanyi kuwa mtu muhimu wa mijadala ya kutamanika na kufirika JF

WE NEED YOUR BRAIN..WE NEED TO LEARN FROM YOU, we dont need these shits!

mimi siyo CCM wal CDM...take that,
 
Acha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia taka
Duh kwel jf kila mtu anaakili zake sasa ww unaponda usafi au ni hasara kwa taifa kuona ujui ata umuhim wa usafi katka taifa linalopambana na kipindupindu. Maralia nk
 
Kubenea,Mnyika,Mtulia na Mwita walikuwa maeneo gani?
Zungu, Ndugulile, Mahiga et al walikuwa wapi? Au mlitaka wote waambatane na RC kwa ajili ya Selfie? Ma DC wako wapi? Lumumba hebu punguzeni Upuuzi vichwani mwenu!
 

We nape acha upuuzi
 
Kamera kwenye Usafi hapana ila bungeni ndio....!!

Kweli kizazi cha wanafiki
Wanafiki kina nani sasa kama sio nyie wapuuzi? Kwenye Mambo yanayodetermine Mustakabali wa Taifa mnajificha kwa kuwa ninyi ni Wachafu,huku kwenye maigizo ndo mnapataka! Ccm hamjitambui,mnajitoa Ufahamu!
 
Hii ndio hoja nzuri badala ya watu kuleta maneno ya kejeli na matusi. Inabidi watanzania tujifunza kutoa hoja nzuri na zenye maana kuliko matusi na kijeli.
Usafi ni muhimu kwa afya zetu na pia inaleta sura nzuri kwa mazingira. Tunapoishi kwenye mazingira mazuri hata sisi binadamu tunakua na hali nzuri ya ki psycology n.k. kwa hiyo si vibaya tukafanya usafi lakini suala kubwa hapa ni kama ulivyo elezea hapo juu. Hawa watu waliopewa hii tenda ya kukusanya taka na usafi wanafanya nini? Mbona serikali haingilii au hawaelezei juu la hili jambo? Na kama kazi imewashinda si wavunjie mkataba.
 

Aibu ni wewe unayeandika bila kufikiria , kwanza usafi wenyewe Umekaa kisiasa zaid Hata kama wangekuja wasingetambulika kwanza et mnaita makonda day mh maajabu haya jamani . Mbona arusha kila jumamos ni usafi na jiji liko safi ulishawahi kuona tunaandamana na waandishi wa habari? Watu wako bze wabatafuta kick kwenye mitandao. Wameona kulikoni waje wadharauliwe wameamua kufanya kazi nyingine.
Kwan hao wanaachi waliofanya usafi ni ccm Pk Yao.? Acha kupotosha jamiii et wamekesha mitandaoni . Wewe hujakesha kuandika huu upuuzi. Waachen madiwani wa ukawa wafanye kazi.
 
Nyambaaff sana! Umerogwa wee bavicha, hivi unategemea uje usafishiwe nyumba yako na mazingira ya maeneo unayoishi? Nani wa kukufanyia hivyo?? Usiwe mjinga kiasi hicho! Hao uliowataja hufanya usafi maeneo ya serikali, barabara na open space tu. Usichanganye kukusanya taka na kukufanyia usafi.
 
Hawa jamaa sijui nani yupo kwenye bongo zao
Du! Naamini ni wana siasa VILAZA dunia nzima kuwahi tokea

Nyie ndo vilaza yan mpaka mshikiwe fimbo ndo muoge hamuoni aibu Alafu mnawalaumu ukawa au ulikuwa Unataka waje wakuogeshe utakaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…