Lowassa ndio anafaa kuwa Rais kwa hiyo Mimi ni mwanachama wa CCM nimeamua kumchagua Lowassa kwa sababu naona kila MTU anamwonea yeye kwa CCM hakuna mafisadi.
Uamuzi mzuri kufanya unachoamini ni sahihi.Nakupongeza
Lowassa ndio anafaa kuwa Rais kwa hiyo Mimi ni mwanachama wa CCM nimeamua kumchagua Lowassa kwa sababu naona kila MTU anamwonea yeye kwa CCM hakuna mafisadi.
Kuna gamba linaitwa Mr Chin sijui lipo humu??!
Hogera Ndugu Kwa kusoma alama za nyakati
Naamini kuna ukweli kiasi kikubwa katika utafiti huu
Naomba wenzangu kama mkipata nafasi mngejaribu kuangalia documentary movie kuhusu uvuvi wa smamaki mkoani Mwanza. Mimi nieiangalia na kuna mengi sana nimegundua yanatakiwa yajadiliwe
Nchi yetu utafikiri haina uongozi,yaani utafikiri bado tuko katika karne za kale sana ambazo zilikuwa hazijali kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili raia wake.Nimetishika sana mambo niliyoyaona mle ndani hii inaonyesha jinsi gani JK alivyorithi matatizo mengi kutoka kwa rais BM amabaye hakutaka kuyatatua katika kipindichake cha uongozi.
Kama kuleta mabadiliko ninaomba rais JK aangalie kwa kina zaidi biashara nzima ya samaki ziwa victoria badala ya kuachia wahindi wachache pamoja na warusi wakiendelea kunufaika kwa kupitia migongo ya wazawa.
Inatisha na kuhuzunisha sana naombeni muitafute hiyo document ambayo hivi sasa imeishatoka kwenye DVD. Kazi kwenu wakubwa.
Peace!!!
Willo
Lowassa ndio anafaa kuwa Rais kwa hiyo Mimi ni mwanachama wa CCM nimeamua kumchagua Lowassa kwa sababu naona kila MTU anamwonea yeye kwa CCM hakuna mafisadi.
Wewe siyo ccm bali ni mchaga
Lowassa ndio anafaa kuwa Rais kwa hiyo Mimi ni mwanachama wa CCM nimeamua kumchagua Lowassa kwa sababu naona kila MTU anamwonea yeye kwa CCM hakuna mafisadi.
Kuna gamba linaitwa Mr Chin sijui lipo humu??!
Mkuu utaacha vipi kukubaliana wakati inatufavor?