Lowassa ndio anafaa kuwa Rais kwa hiyo Mimi ni mwanachama wa CCM nimeamua kumchagua Lowassa kwa sababu naona kila MTU anamwonea yeye kwa CCM hakuna mafisadi.
Nimesoma alama za nyakati mapema kura yangu isije ikapotea bure .kweli lowasa anakubalika sana yani Mwaka huu ccm hatuna chetu kabisa ila ngoja tuwaachie nao ukawa tuwapime kwa miaka mitano ijayo.sisi ccm tulijisahau sana

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.