UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Sio tu kutufeva mkuu. Kuna ukweli usiopingika! Ngoja na mimi niendelee kufanya utafiti zaidi maana huku niliko napita nyumba kwa nyumba nikimuombea kura na ni mtu mmoja kati ya watu elfu aliyemkataa Lowasa!

Haya mkuu!
 
Hata wakimwita fisadi sijali, naona ni bora niwe na rais ambaye najua ni mwizi kuliko kuwa na rais anayejidai mwema kumbe ni mbwa mwitu, UKAWA, LOWASSA NDILO CHAGUO LANGU.
 
Wewe siyo ccm bali ni mchaga

wacheni ujinga wenu nyie maccm. Kwa wachaga sio watanzania? Wakwere ndio watanzania?

Wacheni siasa mufilisi za kuwagawa watanzania.kwa udini na ukabila. Ihi dhambi haita waacha ccm salama itawatafuna na vizazi vyenu vyote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom