UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Kilimanjaro magufuli 30?na manyara magufuli 32? kumbe Sumaye na lowassa CCM wakizidisha kampeni mikoa hiyo hatutaamini matokeo
 
Weka link ya hyo tafit ya bbc sio utatutolea takwimu mlizo piga na mkeo wakat mkisubiria chapili
 
TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA BBC..
DAR ES SALAAM
lowassa 78%
Magufuli 20%
IRINGA
Lowassa 54%
Magufuli 43%
NJOMBE
Lowassa 48%
Magufuli 50%
RUVUMA
Lowassa 49%
Magufuli 50%
MWANZA
Lowassa 72%
Magufuli 34%
ARUSHA
Lowassa 80%
Magufuli 18%
MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 32%
KILIMANJARO
Lowassa 66%
Magufuli 30%
TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 59%
MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%
TABORA
Lowassa 46%
Magufuli 50%
KIGOMA
lowassa 40%
Magufuli 30%
MTWARA
Lowassa 68%
Magufuli 31%

Acha Kuharibu Credibility Ya BBC. Ungeniambia Huo Utafiti Umefanywa Na ITV au Channel Ten Ningekuamini 100% Na Kama Ni BBC Basi Itakuwa Ni Ya Kinondoni BIAFRA.
 
Monarchies
Ninachojua Mwaka huu

Ukawa Watashinda ukawa kwa 64% na 32
hata kama Lowassa asingekuja;;;

Mwambieni Magufuli Aliyebebwa hajui mwendo wa Safariiiiii
 
Utafiti unaelekea..makamanda angalieni palipo dhaifu muongeze bidii
 
Kilimanjaro magufuli 30?na manyara magufuli 32? kumbe Sumaye na lowassa CCM wakizidisha kampeni mikoa hiyo hatutaamini matokeo

Huko hao uliowataja wana nguvu kuliko kawaida, huko magufuri haambulii kitu, hao watu kule kwao ni malaika,kauli zao hazipingwi,magufuri ahesabu maumivu.
 
Hata mie nishakunywa maji ya bendera lakini kura yangu ntampa lowasa
 
Kiasi fulani kuna uhakika, tafuta post yangu iliyopita

ukubalika wa magufuli kanda ya ziwa! kisha nawe tafiti kidogo kujiridhisha utagundua kuwa ktk maeneo ya miji LOWASA yuko juu sana (Geita, Katoro, Buseresere, Ushirombo - Bukombe, Biharamulo, na Bukoba)

Tafiti kisha toa jibu
 
Pamoja na kumchafua Edo kwa udini na ufisadi wajinga mliowanyima elimu ndio mtawapata lakini wenye ufahamu wanaona mnatumia mbinu za kishamba,tena mlaaniwe kwa kuwafanya watanzania maskini
 
Kuna watu ni viazi kweli, kwani kura zitapigwa mikoa huyo tu? Acheni ujinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom