UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Maneno yasikupe hofo.Pima hali ya maisha tangu umeanza kujitambua na ukali wa maisha ulivyo kwa sasa halafu chukua

maamuzi sahihi.Kura yako ni ya muhimu sana katika kujenga tanzania yenye neema kwa watu wote na yenye dira sahihi
 
Wachambuzi huru hebu tujadili kidogo Urais sio kazi ndogo ni kazi inayotakiwa kujiandaa kubeba dhamana ya watanzania na mstakabali wa nchi ndani ya mda fulani ukiwa mzuri unaweza kufanya nchi iendelee na kusonga mbele ukiwa mbovu tunaweza kupata maumivu miaka mia mbele na gharama yake kuirudisha inaweza kuchukua mda mrefu hivyo Rais tunayemhitaji ni yule ambaye alishaonesha nia mda mrefu na kuwa na njozi ya kuwa RAIS siyo kukurupuka kwa mda mfupi matokeo yake yanaweza kuigharimu nchi sasa JE? KATI YA WAGOMBEA WETU MAARUFU LOWASSA(UKAWA) na MAGUFULI(CCM) NANI ALIYEKUWA NA NJOZI MDA MREFU YA KUWA RAIS NA KUIONYESHA HADHARANI? karibuni
 
We mwehu nini ukawa lazima wakae
 
magufuli amekuripuka. Hajajiandaa na watanzania hatuwezi kuongozwa na mtu ambae hakujiandaa kuwa Rais.
 
Kabla chadema haijaingiliwa na majangili...Kibwagizo chenu kilikuwa "Pipooooz...Pawaaaaa"
Baada ya majangili kushika uskani...sasa imekuwa "Popooooo....Bawaaaaaa"
 
jamani tuandike jina tu..na majibu ya maoni yetu tutayatangaza jne ...mida kama hii. tuache matusi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom