UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
ukirudia haikupi option ni kweli kufuli limeingiliwa kutu.lowassa nuuuuuma

nacheka sana kweli taifa hili bado sana hata waitimu wa vyuo wako humu wanacoment ujinga kama huu then mtu eti nina degree ,inasumbua sana akili kwa wenye timamu,
nawauliza redet iko wapi?

mi nimepiga na imeongezeka bhana kaa mbali na lowassa

nenda na redet ukapige kura yako ,akiingia humu lowasa anajiona anapendwa sasa kumbe ni kakundi kake ka 4u ndo kanaangaika na posho nyie mnazani watz wa leo ni wajinga kiasi hicho ? Mwisho wasiku amkawi tumeibiwa kula kumbe ni kura zakundi lenu la humu,nenda shule iwasidie namna ya kufanya tafiti,
 
nacheka sana kweli taifa hili bado sana hata waitimu wa vyuo wako humu wanacoment ujinga kama huu then mtu eti nina degree ,inasumbua sana akili kwa wenye timamu,
nawauliza redet iko wapi?

Newton alikuwa na degree ngap?
 
11866418_907431039316804_7398096188989614971_n.jpg
ccm mtaisoma namba mwaka huu
 
hivi nyie kweli shule mumeenda au ilipita pendbeni mnajua namna ya kufanya tafiti kweli? Muajiriwe humu nyie na mpige kura nyie humu na mjipe majibu myie eti lowasa ni noma

subili oct ndo mwendenae msituni
 
najua wengu humu mumeajiliwa na lowasa kwa propaganda kama hizo lakini magufuli hana muda wa kuajiri watu humu anajua uwezo wake ndo urais wake ,endelea kufanya propaganga ka ma za redt, kipindi cah kukatwa

Mbona mimi niko tukuyu nimepiga na sijaajiriwa, kubali mwaka wa mabadiliko mlimdharau kakobe wakati ule.Toa ushuhuda Laigwan chiboko bana
 
nguvu zipi alizonazo lowasa ? Uwezo wa kuongea hana kila anapoongea mate yana mtoka nasubili kampaini ziaze mbowe anakazi ya kuwa mshenga lakini ataongea mpaka mate yakauke
wakati mzee wa takwimu amepanga kusimama na kuliutubia taifa masaa yasiyopugua 3

Tatizo chama hakina mvuto, afadhali magufuli angetokea TADEA, au ADC
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inawatahadhalisha wananchi kuwa tarehe 10/8/2015 kutakuwepo na mafuriko ya binadamu wakati Wagombea wa UKAWA Kupitia CHADEMA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya uchaguzi, Makutano yataanza makao makuu ya CUF Buguruni saa 3 asubuhi na kumalizia makao makuu ya CHADEMA Kinondoni! Kama huna shughuli maalum Posta usithubutu kwenda foleni ya watu,baiskeli,gutta,bodaboda,bajaji,magari na helcopter itakuwa kubwa sana kuwahi kutokea Africa.

Hahahahahahah.....

Matola utauwa watu kwa presha hapo mkuu daaaah, Mafuriko ya Binadamu...!!!

BACK TANGANYIKA
 
View attachment 274761
ccm mtaisoma namba mwaka huu

hivi kweli hawa ni wana cdm kweli? au wamekuja kumuona fiswadi papa wa slaa? nimemuona mbowe analalamika sana kuwa kunampasuko nimecheka sana, nikamuona lisu mzee wa ukabila eti nae anachambia katiba nikakumbuka ukabila wake aliuouleta mwanza na geita ,mzee wa kurudi maneno na netwark hukata nae kabwabwaja kweli hamnazo,
 
Ukawa Ushindi Asubuhi Hiyo Oktoba 25
Hakuna Bao La Mkono Hapo
 
nguvu zipi alizonazo lowasa ? Uwezo wa kuongea hana kila anapoongea mate yana mtoka nasubili kampaini ziaze mbowe anakazi ya kuwa mshenga lakini ataongea mpaka mate yakauke
wakati mzee wa takwimu amepanga kusimama na kuliutubia taifa masaa yasiyopugua 3
Ndugu yangu hizo kampeni unazo zungumzia wewe hazita badirisha mawazo na maamuzi ya watanzania kwani watu wameshaamua kuitoa CCM madarakani. Muache Magufuli aje aongee masaa 3 aanze na yeye kuanguka anguka jukwaani.Watu hawaangalii ni kwa muda gani unaweza ukaongea. Lakini sishangai kwani CCM wanachagua kiongozi mwenye kujua kuongea uongo uongo muda mrefu ili kuwahadaa wananchi. Watanzania hawataki kuona habari za GOD must be CRAZY. Wanataka kitu Lowassa tu.
 
nguvu zipi alizonazo lowasa ? Uwezo wa kuongea hana kila anapoongea mate yana mtoka nasubili kampaini ziaze mbowe anakazi ya kuwa mshenga lakini ataongea mpaka mate yakauke
wakati mzee wa takwimu amepanga kusimama na kuliutubia taifa masaa yasiyopugua 3

Lowasa hapendi maneno mengi anaongea ya msingi hataki mbwembwe kwani watanzania wanataka maendeleo si kujua kuongea maana maneno Matamu ya ccm miaka yote yamesaidia nini ?
 
hivi nyie kweli shule mumeenda au ilipita pendbeni mnajua namna ya kufanya tafiti kweli? Muajiriwe humu nyie na mpige kura nyie humu na mjipe majibu myie eti lowasa ni noma

subili oct ndo mwendenae msituni

Magamba wenzako wamenyosha mikono juu wakakimbia huku jf wewe unajidai king'ang'anizi,utakufa kwa presha kijana,! Pesa yenyewe unayolipwa kidogo, wenzako waliondoka na magunia ya pesa ya escrow huko STANBIC, jitambue!
 
hivi nyie kweli shule mumeenda au ilipita pendbeni mnajua namna ya kufanya tafiti kweli? Muajiriwe humu nyie na mpige kura nyie humu na mjipe majibu myie eti lowasa ni noma

subili oct ndo mwendenae msituni

Sasa ndugu hukuona poll zilizopita kabla ya lowasa kuja Ukawa?Matokeo yalikuwa hayatofautiani sana na haya,ina maana lowasa aliwanunua watu waisupport ukawa akiwa bado ccm?Vitu vingine havihitaji kipaji kuvitambua,hebu tumia tu akili yako ya kuzaliwa!
 
hivi kweli hawa ni wana cdm kweli? au wamekuja kumuona fiswadi papa wa slaa? nimemuona mbowe analalamika sana kuwa kunampasuko nimecheka sana, nikamuona lisu mzee wa ukabila eti nae anachambia katiba nikakumbuka ukabila wake aliuouleta mwanza na geita ,mzee wa kurudi maneno na netwark hukata nae kabwabwaja kweli hamnazo,
mtaweweseka sana lakini moto wa UKAWA ni sawa na gesi View attachment 274764
mgombea wenu Magufuli anacheza kiduku uraisi asahau kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom