UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
CCM juu...juu..juu zaidi, chezea sisi wewe!!!. Subirini kidogo tu, November lazima pyuuuu iwatoke

Una jifanya kuwa hauna ubongo ndani ya kichwa chako?.
Subiri moto wa UKAWA utawaunguza kila mtakako kwenda.
 
ImageUploadedByJamiiForums1439142881.195485.jpg
Hadi napiga kura yangu matokeo yalikuwa kama yanavoonekana hapo juu, piga kura yako ujione mambo yalivyo
PIGA KURA YAKO HAPA!!
Poll - EasyPolls.net
 
Aiseee kwa mwendo huu hakika Lowasa ana nguvu sana
 
easypolls haipo sahh koz mi nimejarib kupiga kura zaid ya mara moja na imehesab. kwa mantik hii inawezekana kuwa kura zimepigwa na watu walewale ila mara nyingi.
 
easypolls haipo sahh koz mi nimejarib kupiga kura zaid ya mara moja na imehesab. kwa mantik hii inawezekana kuwa kura zimepigwa na watu walewale ila mara nyingi.
Acha uongo ukirudia haikubari unakuta Percentage Tu, uongo unakusaidia nini???????
 
...maskini mapadlock amesakiziwa ili adhalilishwe na Lowassa . kweli laigwani ni mziki mzito....
 
aiseee kwa mwendo huu hakika lowasa ana nguvu sana

nguvu zipi alizonazo lowasa ? Uwezo wa kuongea hana kila anapoongea mate yana mtoka nasubili kampaini ziaze mbowe anakazi ya kuwa mshenga lakini ataongea mpaka mate yakauke
wakati mzee wa takwimu amepanga kusimama na kuliutubia taifa masaa yasiyopugua 3
 
Ukirudia haikupi option ni kweli kufuli limeingiliwa kutu.Lowassa nuuuuuma
 
easypolls haipo sahh koz mi nimejarib kupiga kura zaid ya mara moja na imehesab. kwa mantik hii inawezekana kuwa kura zimepigwa na watu walewale ila mara nyingi.

Siyo kweli
 
najua wengu humu mumeajiliwa na lowasa kwa propaganda kama hizo lakini magufuli hana muda wa kuajiri watu humu anajua uwezo wake ndo urais wake ,endelea kufanya propaganga ka ma za redt, kipindi cah kukatwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inawatahadhalisha wananchi kuwa tarehe 10/8/2015 kutakuwepo na mafuriko ya binadamu wakati Wagombea wa UKAWA Kupitia CHADEMA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya uchaguzi, Makutano yataanza makao makuu ya CUF Buguruni saa 3 asubuhi na kumalizia makao makuu ya CHADEMA Kinondoni! Kama huna shughuli maalum Posta usithubutu kwenda foleni ya watu,baiskeli,gutta,bodaboda,bajaji,magari na helcopter itakuwa kubwa sana kuwahi kutokea Africa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom