UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inawatahadhalisha wananchi kuwa tarehe 10/8/2015 kutakuwepo na mafuriko ya binadamu wakati Wagombea wa UKAWA Kupitia CHADEMA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya uchaguzi, Makutano yataanza makao makuu ya CUF Buguruni saa 3 asubuhi na kumalizia makao makuu ya CHADEMA Kinondoni! Kama huna shughuli maalum Posta usithubutu kwenda foleni ya watu,baiskeli,gutta,bodaboda,bajaji,magari na helcopter itakuwa kubwa sana kuwahi kutokea Africa.
kwakweli ni shida, Leo hapo hao ni wafuasi wa cuf tu! Je CHADEMA tungekuja?? Lowasa ni shida lulu angu??
 
shida ya hizi kura za maoni, mtu mmoja anaweza piga kura hata mara elfu
 
Mkuu Invisible hivi hii post yangu niliyoiquote ina uhusiano gani na hii post ambamo imeunganishwa? Make hapa ilipounganishwa ni poll ya hapa jamii forums wakati hii post yangu aihusu watu kupiga kura, naomba itenganishwe tafadhari

yote sawa, yana seek kuona nani ni zaidi
 
Last edited by a moderator:
Moderator kwanini Poll muhimu kama hii isiwe "sticky"?

Hili ni swala nyeti na la kitaifa lipeni uzito unaostahili na hata JF mtaijengea heshima na zaidi mtaiongezea umaarufu.

Ikibidi muiboreshe na kuuhusisha majina ya wagombea wa vyama vingine ingawa bado hawajarudisha form zao rasimi Tume ya uchaguzi kwani sidhani kama kuna atakaekataliwa na Tume.

Itakuwa vizuri zaidi kama mtaanzisha thread mpya kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Ooohhh...Ukawaaaaaaaa

Lowassaaaaaaaaaa.....


Mpango wa Mungu....!!!!👏👏👏👏👏👏👏✌✌✌✌✌✌✌✌
 
Moderator kwanini Poll muhimu kama hii isiwe "sticky"?

Hili ni swala nyeti na la kitaifa lipeni uzito unaostahili na hata JF mtaijengea heshima na zaidi mtaiongezea umaarufu.

Ikibidi muiboreshe na kuuhusisha majina ya wagombea wa vyama vingine ingawa bado hawajarudisha form zao rasimi Tume ya uchaguzi kwani sidhani kama kuna atakaekataliwa na Tume.

Itakuwa vizuri zaidi kama mtaanzisha thread mpya kabisa.
Nilimwandikia PM Invisible kuhusu hili swala lakini naona ameamua kupotezea mazima. Sijui kwa nini wamekataa kabisa kuiweka sticky!!!!!
Anyways, wao ndo wameshikilia mpini wa kisu, inabidi twende nao hivyo hivyo tuu. Cc Invisible Active Maxence Melo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom