Hahaa....magufuli alihonga mahawara zake nyumba za serekali...lowasa ni mzee wa maamuzi magum na ....anachukia umaskin wa watanzania.....na hasa wa vijana na wanawake...magufuli ni waziri pekeee anayeingizia serekali hasara....na huwa ana kauliza kejeli kwa maskini kumbuka kauli yake asiye na nauli ya sh.miambili aogelee....huyu ni mzigo....Lowasa anakumbukwa kwa uzalendo wake kumbuka shule za kata vyuo vikuu kama Duce,Mkwawa...na Udom ..huyo ni lowasa
Magufuli na lowasa nan kalitia taifa hasara ya kutosha kwa hiyo ulitaka wapande Bure wasilipe nauli we vipi
Utapigaje kura yako ya urais mwaka huu?
1)UKAWA
2)CCM
3)none of the above