Kuna mahali nimesikia mwaka 2005 Magufuli alimwambia JK kuwa hamuungi mkono kwa sababu ni msanii tu hana lolote la maaba kuwafanyia Watz, JK alipoingia madarakani alimchukua MAGFULI katika wizara zake kwa shingo upande na adhabu ikawa kumpa wizara za ajabu ajabu kama kumkomesha, mpk alipoona kuwa ujenzi kumeyumba ndio akamrudisha huko alipokuwa amewekwa na Mkapa........sasa najiuliza Magufuli ana furaha moyoni kweli ya kupigiwa kampeni na Msanii.....au JK ana furaha kweli kumpigia kampeni mtu aliyemuita msanii......CCM kuna raha ajabu, nashngaa munahangaika na mambo ya wenzenu ilihali kwenu panahitaji dua za kila dini ili patulie.