UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Ni vema tukakumbuka kauli hii. ''NDANI YA CCM HATA UMLETE MALAIKA NDANI YA WIKI ATAGEUKA NA KUWA IBILISI'' kwa hiyo ieleweke wazi hakuna kiongozi yeyote ambaye atakuwa ndani ya CCM anaweza kubadilisha mfumo uliopo CCM.
 
Timu hizi pinzani na zenye washabiki wengi nchini na nje ya nchi zinazidi kulisakata kabumbu huku team magufuli ikiwa mbele kwa mabao matatu dhidi ya YAI la Lowassa.
zimebaki dakika 25 mpira kuisha.
Team lowassa ni cheknga twawala....magufuli wao hawakai kabisa na mpira, wako kimya na ni wapole ila wakiukamata moja kwa moja goooooooooooooooooo....

My take; Mpira wa miguu ni magoli sio chenga

attachment.php
 

Attachments

  • Lowassa vs Magufuli.jpg
    Lowassa vs Magufuli.jpg
    26.2 KB · Views: 730
Polling voting percentage prediction:

Entry of Lowassa :

Chadema 26 % + CUF -9% + Others 2 % + Lowassa factor 5 % = 42 %

Exist of Prof Lipumba and Silence of Slaa

Chadema 25% + CUF 5% + Others 2% + Lowassa 5% = 37 %
 
mmesema nyie msio jua dunia inaendaje akilli zilizo lala Kwa joto
 
Timu hizi pinzani na zenye washabiki wengi nchini na nje ya nchi zinazidi kulisakata kabumbu huku team magufuli ikiwa mbele kwa mabao matatu dhidi ya YAI la Lowassa.
zimebaki dakika 25 mpira kuisha.
Team lowassa ni cheknga twawala....magufuli wao hawakai kabisa na mpira, wako kimya na ni wapole ila wakiukamata moja kwa moja goooooooooooooooooo....

My take; Mpira wa miguu ni magoli sio chenga

Nakuomba kwa heshima na taadhima mtoa mada. Vaa vazi la ccm nenda kariakoo kafanye shopping.
Utuletee mrejesho hapa.
 
Timu hizi pinzani na zenye washabiki wengi nchini na nje ya nchi zinazidi kulisakata kabumbu huku team magufuli ikiwa mbele kwa mabao matatu dhidi ya YAI la Lowassa.
zimebaki dakika 25 mpira kuisha.
Team lowassa ni cheknga twawala....magufuli wao hawakai kabisa na mpira, wako kimya na ni wapole ila wakiukamata moja kwa moja goooooooooooooooooo....

My take; Mpira wa miguu ni magoli sio chenga

kila mahali sitawaangusha, sitawaangusha, sitawaangusha, sitawaangusha......................Naomba uendelee mie nimechoka kutamka.
 
Kweli ndoto za mpumbavu huwa mchana kweupeee hofu yetu msianzishe fujo wana mageuzi tupo wengi tofauti Na mnavyofikiri
 
Shahada na uongozi ni vitu tofauti sana,kuna maraisi ma 'Profesa'lakini hovyo kabisa

Bora shahada moja ya "mazingaombwe" iliyolinda uwanja wa wazi wa Mnazi Mmoja (Dar) kuliko PhD (permanent head damage) iliyodalali nyumba za serikali na kuleta hasara isiyohesabika baada ya kuwalazimu mawaziri kuishi hotelini. Dalali wa nyumba za serikali mnataka akamalizie kuinadi ikulu (maana ndiyo nyumba pekee ya serikali iliyobaki ya enzi zile)

Heri kutokuchapisha chapisho hata moja kuliko kuwa nayo mengi lakini ya kuandikiwa na hayana tija yoyote kwa Watanzania. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.

Leo hii mnajivunia shule za kata, jaribuni kuchungulia kama mna kumbukumbu. Hiyo itakuonyesha kuwa hayo "mazingaombwe" (kama unavyoyaita) hayana mkono wa Pombe wala Makufuli. Nani alisimamia?

Unaelezea hasara unakumbuka samaki wa Makufuli? Sio kuwa tumepata hasara tu (isiyothaminika kwani tangu hapo Wachina wanajichotea chochote wanachotaka kama fidia) bali pia aibu kwa taifa. Mwenzake kwa "mazingaombwe" aliwahenyesha wazungu wa City Water, tukalipwa fidia.

Unakumbuka kituo cha mafuta Mwanza, nako serikali ililizwa - kazi ya PhD Pombe Makufuli.

Bado tu unataka kuwalinganisha hawa wawili? Waulize TANESCO, kama si kuingilia kapi (kwa kadri ya Jangili Kinana) Mizengo Pinda, saa hizi makao yao makuu yangekuwa kifusi.

Mmoja yuko upande wa wananchi UKAWA na anasimamia katiba ya wananchi akijua kuwa hao ndio watakaompa mamlaka. Mwingine na PhD zake ni mgombea wa kitengo naye anatetea katiba iliyopendekezwa ya Kitengo. Sijui ataongoza kitengo!

Linganisha hekima iliyotumika katika kufanya maamuzi. Raisi anategemewa kuwa mtu wa maamuzi magumu yanayohitaji busara na umakini. Busara na hekima vinahitajika zaidi ya kuropoka ovyoovyo. Busara, umakini na hekima vimekuwa adimu sana kwa Pombe.
 
its non sense topic...elimu si kiwango cha kujua au kumudu kuongoza but its from the Allah!!
 
Magufuli na fedha za wakandarasi bn 250! Magufuli na nyumba za serikali! magufuli na barabara zinazobomoka kabla hazijazinduliwa?! Magufuli na masamaki ya wachina; serikali ikaishia kulipa fidia; Magufuli inasemekana ana pacer mwilini kurekebisha mapigo ya moyo, kawekewa huko ujerumani! Magufuli aliyepindisha barabara ya Mwanza Bukoba ili iingie kijijini kwake Chato, fedha za umma?! matokeo yake akaudororesha mji wa biharamulo kwa kuvunja kiungo na mwanza! Magufuli aliyeuza nyumba za serikali na kuwagawia michepuko yake na nduguze! matokeoa yake watumishi waandamizi wa serikali kama RPC, majai na madaktari wanaishi Uswazi; kwenye madampo!! Magufuli aliyemteka mgombea wa CUF asirudishe fomu za uchaguzi 2010 vinginevyo angeshindwa! Magufuli aliyehujumu boti 2 za mwendo kasi zisifanye kazi Bukoba Mwanza katika ziwa victoria! Magufuli the Nyapara; anayetumia nguvu nyingi kuliko akili; alikuwa anaelekea kuvunja jengo la Tanesco Ubungo pasi na kujali hasara kwa umma! ni akili hiyo au wenda wazimu!! Magufuli ambaye JK na PM wamewahi kulazimika "kumfunga Gavana", sio mara moja au mbili! kwa kutumia maguvu mengi badala ya busara; akibomoa nyumba na biashara za watu bila kujali utu, anavunja nyumba za wananchi wakati hana bajeti ya kujenga barabara!? si wehu huo?! kisa eti anatekeleza sheria ya barabara! just like a robot! Magufuli anayediriki kuwaambia wananchi; waajiri wake kwamba "asiyeweza kulipia kivuko shs 400 kigamboni "apige mbizi"! Magufuli asiyejua gurudumu la uchumi wa nchi linazungukaje; anasimama barabarani kwenye mizani anapiga marufuku malori yasipite bila kujali athari za kitendo hicho kwenye mahusiano na nchi jirani land locked zinazotumia barabara zetu kwa uhai wa watu wake; uchumi wa nchi na maisha ya wananchi wetu!?

Come on; give us a break! kama hujui jambo nyamaza au uliza uambiwe nyambaf we!; infatuation yako kwa Magufuli mpe appointment ukanywe naye chai!i na fanatism yako kwa CCM kajipake rangi za kijani na manjano mwili mzima mkashangilie na familia yako; lnji hii tunaikomboa, na wakati huo ni sasa!!

Magufuli ni nyapara sio meneja; ili afanye kazi yenye weledi ni lazima asimamiwe yeye kwanza vinginevyo kama atashinda huyo, nchi hii itakuwa imetumbukia kwenye mtaro wa maji machafu!! na kwa tabia yake akishashika madaraka haitakuwa rahisi mtu yeyote; including JK na Mkapa king makers wake, na hata kina Nape na Kinana praise singers wake! hawataweza kumwambia kitu! kama unabisha watafute watu waliowahi kufanyakazi na Magufuli wizarani, Ujenzi, Mifugo na ardhi au Tanroads watakwambia serious weaknesses za Magufuli na kama una akili kidogo utamchukia sana tu! ni mtu asiyekuwa na utu hata kidogo! he has a one way track mind; BUT that is not an unexpexted mentality in a man BORN a NYAPARA!
 
Tunacho angalia sio idadi ya degree au ni aina gani ya degree walizonazo ili kuwa president; kinachoangaliwa ni ledership qualities; Lowasa ana vission - mbeba maono. Pia anauwezo wa kutransform vission into reality. Mfano; water project from Lake Victoria to Shinyanga. Pia falsafa yake ya elimu kwanza, wote ni mashahidi juu ya sekondari ambazo yeye binafi ndo aliinitiate, Vyou vikuu...,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom