Habari wakuu..
Natumai mu wazima..uzi huu ni maalum kwa hawa washabiki wa ukawa...unajua tatizo kubwa ukawa ina mashabiki vijana hasa wa mitaani na pia wanaoshinda mitandaoni....hembu ongeeni fact yani kutwa kucha ni kumsifia lowassa lakini ukiulizwa lipi zuri alilofanya huna lakujibu ila kuongea tuuh bwana mmebarikiwa...sikatai lowassa ni kiongozi mzuri tuu sana anafaa sana kuongoza lakini hafit hata kidogo kuwa rais wa nchi hii...Ana uchu wa madaraka uliopitiliza....hembu niambieni sababu kubwa ilomfanya lowassa kuhama from ccm to chadema...kweli kukatwa tuuh ndo kumsababishe akisaliti chama kilichomlea?? kwani ikulu kuna nn kinachokimbiliwa kiasi hcho mpaka watu kutaka kutoana roho??? Kwa mara nyingine tena em mfikirieni huyu mgombea wenu na sera zake....[/QUOTE
Kk uwezo wako wa kufkl unashuka kla kukicha,
Utapigaje kura yako ya urais mwaka huu?
1)UKAWA
2)CCM
3)none of the above