UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Tunachotaka kiritoa ri-sistim ra sisiem kwa ni KANDAMIZI. Hata kama nijiwe litasaidiani sawa hatutaki tofauti zakokwenda zako
 
Yote aliyoyafanya Lowassa alifanya kwasababu alikuwa kwenye Genge la mafisadi, huwezi kuishi na wachina usiige mila na desturi zao.

Huku aliko sasa anaishi na wakorea hivyo atafuata mila na dasturi za wakorea mila za wachina kaziacha China alikotoka.

Kuhusu magufuli hata kama anasifa kama za malaika madhali bado wanaomzunguka ni genge la majambazi Hana uwezo wa yeye kukemea ujambazi au yeye mwenyewe kuepuka athari za ujambazi.
 
Huyu jamaa cjui ni tahira, yani anasahau ESCROW na mikataba mingne feki, pia unasahau km kikwete alishatibiw tezi dume, unasahau mawazr weng w ccm wamehusika na kashfa y biashara haramu y madaw y kulevya na pembe za ndovu, unasahau hao hao unawaona wanafaa wanavi2mia vymbo vy dola kuwatesa wanachi mfano kule Mtwara, mizengo pinda alitoa kaul y pga tu, kikwete aliwaita mapembe na atayakata, unasahau uchumi w tz unadidimia leo dola moja inakaribia elfu 3 y ktanzia, unasahau vyakula na mafuta kupnda bei, unasahau wabunge w ccm wanavyopnga mambo y maana bungeni, unasahau kweli, dah inaniuma sn tunatakiw tupewe elimu bye bye mtoa uzi
 
Semeni yoote, lakini kwa sasa Raisi anatoka nje ya CCM! Shida sio mashahada bali ni CCM. Udhibitisho kwamba chama hiki kimeoza angalia uchaguzi wa wagombea wake ulivyogubikwa na rushwa. Wanagawa pesa bila hata haya usoni. Hatujali mpinzani anafananaje lakini ni lazima kuing'oa hii system na wakati ni sasa!
 
Nakubaliana na wewe 100%
Unakubali 100% wakati hajamaliza yote?
Ongezea hapo,mmoja ni mcha Mungu ndio maana amekuwa akialikwa makanisani na misikitini Mara kwa mara. Na mwingine ni mshirikina na anadhaniwa kujihusisha na biashara ile ya viungo vya ..... kwa vile eneo lake la uongozi kuna idadi kubwa ya mauaji lakini hajawahi kukemea au kuonyesha kutofurahishwa hata siku moja.
 
Mwenyekiti wetu Kikwete alishatuambia wana CCM tujiandae kisaikolojia. Nashangaa mnahangaika nini!
 
Magufuli siyo mwanasayansi aliyebobea, labda kama hujui maana ya kubobea. Magufuli ni mwanasayansi wa kinadharia maana hajawahi kufanya kazi yoyote ya kisayansi zaidi ya kufundisha sekondari.

Ufisadi wake wa kumpa hawara yake Sundi Malomo nyumba yenye zaidi ya thamani ya shilingi milioni 400 kwa shilingi milioni 10 ni inatupa angalizo atafanya nini akiwa Rais.

Kugombea Urais akitokea kwenye chama chenye tope la takataka CCM ni dosari nyingine kubwa. Subiri mwezi Oktoba, hakika Magufuli hatakuwa Rais. Mark my words.
 
Shahada na uongozi ni vitu tofauti sana,kuna maraisi ma 'Profesa'lakini hovyo kabisa
 
Vita yetu si kati ya LOWASSA na MAGUFULI kwani hawa wote watapita lakini MAMA TANZANIA atabaki daima.
Huu mtikisiko wa SIASA usipite bure ubadilishe FIKRA za sisi Watanzania kujua nani ni Adui yetu wa Asilia.

Mtu moja pekee hawezi kutikisa Nchi na vilevile mtu mmoja pekee hawezi kuijenga Nchi.

Kwa sasa wengi wanaamini Lowassa ndo pekee ni mchafu kiasi cha kuitikisa Nchi, hii si kweli ndani ya CCM kuna watu wachafu kuliko Lowassa na kama hatutaing"oa CCM watu kama hawa wataongezeka kwani mfumo wa CCM ndio unao tengeneza watu kam hawa.

Kwa upande mwingine Magufuli pekee hawezi kuijenga Nchi atahitaji support kutoka kwa Chama chake ambacho mfumo wake ndio huo uliotutengenezea MAFISADI na bado UNATENGENEZA na UTATENGENEZA MAFISADI.

Lowassa ni Fisadi mmoja ambae kwa sasa yumo ndani ya Mfumo Safi, atabadilika na kua muadilifu na atatupa siri za kupambana na Mfumo anaoujua vizuri zaidi.

"WATANZANI TUPANUKE KIFIKRA NA SIO USHABIKI TU USIO NA TIJA KWA TAIFA"
 
Tofauti kati ya magufuli na Lowasa.

LOWASA

ANA SHAHADA MBILI,SHAHADA YA SANAA(FINE AND PERFOMING ARTS) NA SHADA YA MAENDELEO.KWA KIFUPI LOWASA NI MWANA MAZINGAOMBWE

LOWASA HAJAWAI KUANDIKA CHAPISHO LOLOTE LA KUELEZEA MAWAZO YAKE KWA NJIA YA MAANDISHI.

LOWASA AMELIINGIZIA TAIFA HASARA YA MABILION YA SH KWA SCANDAL ZA EPA NA RICHMOND KWA KUINGIA MIKATABA FAKE YENYE MANUFAA KWAKE BINAFSI.

LOWASA ANA MAAMUZI MAGUMU AMBAYO SIO SAHIHI

LOWASA HAPOKEI USHAURI(REJEA USHAURI WA MAMA REGINA )

NI MTU WA MIHEMKO ALISHAURI NCHI IPIGANE NA RWANDA AKIWA MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA.

LOWASA ANA AFYA AMBAYO SI IMARA NA ANA MARADHI YA KIHARUSI AMBAYO HUMFANYA AWEZE KWENDA KUTIBIWA MARA KWA MARA NJE YA NCHI.

LOWASA ANAZUNGUKWA NA MARAFIKI AMBAO MIENENDO YAO INATIA SHAKA MFANO KALAMAGI,ROSTAM AZIZ,TIBAIJUKA.N.K
KWA KIFUPI HANA NIA YA DHATI YA KUKOMBOA WATANZANIA ILA ANATAKA KUREJESHA FEDHA AMBAZO AMEPEWA NA WAHISANI

MAGUFULI
ANA SHAHADA TATU KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.NI MWANA SAYANSI MBOBEZI KATIKA KEMIA NA HISABATI.

MAGUFULI NI MSOMI MWENYE UWEZO WA KUANDIKA,AMEANDIKA MACHAPISHO ZAIDI YA 20.

ANAPOKEA USHAURI NA NI MSIMAMIZI WA WAJUJUNU YAKE,AMEFANYA VYEMA KATIKA WIZARA ZOTE ALIZOPITA.

MAGUFULI ANACHUKIA RUSHWA NA NDIO MAANA ALIWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WA TANROAD WALIOKUWA WANAPOKEA RUSHWA.

MAGUFULI HANA MARAFIKI AMBAO NI MCHWA ,KWA KIFUPI NI MZALENDO WA KWELI.

MAGUFULI ANA AFYA NJEMA AMBAYO NI SIRAHA YA KUWAJIBIKA KATIKA MAJUKUMU YA KILA SIKU HASA ATAKAPOKUWA RAIS.


YAANI KITAALUMA LOWASA MWANAMAZIGAOMBWE,NA MAGUFULI WANASAYANSI MBOBEZI WA KEMIA NA HISABATI.
Topic uliyotoa si ya kitaalam kabisa, na wala haina maana halisi ya ulinganifu wa vitu / mambo, unatuambia tofauti kati ya Lowasa na Magufuli, sioni tofauti hapo, bali ninachokiona ni mabaya ya Lowasa vs mazuri ya Magufuli. Kajifunze kuandika tofauti ya mambo itakayoleta maana halisi ya ulinganifu. Bora ungekuwa wazi kwa kuandika kichwa cha mada kama ifuatavyo " MABAYA YA LOWASA NA MAZURI YA MAGUFULI " ulitakiwa uoneshe uzuri na ubaya wa kila mhusika. Nenda ukajipange na uje na kitu kinachoeleweka, kama hauwezi acha wenye uwezo wakuandalie mada.
 
Hitler was a German army corporal before he rose to become the leader of the 3rd Reich. Never underestimate anyone in your life! Lipumba's CV is hundred pages long but looking at what he ddecided to do yesterday it casts a dark shadow on his professional ability. Albert Einstein alifeli hesabu utotoni yet he pioneered the N bomb theory!
 
Labda kwa bao la nape ndo mushinde unless otherwise mume dondokea pua ukawa ndo habari ya town lowasa nyumba nyeupe inamuhusu
 
Timu hizi pinzani na zenye washabiki wengi nchini na nje ya nchi zinazidi kulisakata kabumbu huku team magufuli ikiwa mbele kwa mabao matatu dhidi ya YAI la Lowassa.

zimebaki dakika 25 mpira kuisha.

Team lowassa ni cheknga twawala....magufuli wao hawakai kabisa na mpira, wako kimya na ni wapole ila wakiukamata moja kwa moja goooooooooooooooooo.

My take; Mpira wa miguu ni magoli sio chenga
 
Mods wekeni hii poll vizuri tupige kura! Huu ndo wakati wake hapa na ndo moja ya kazi za mitandao kama hii!
 
Asante kiongozi, wewe kama mimi navyoitazama hii game. MAGHUFULI MAGOLI, LOWASSA CHENGA TWAWALA.
 
imekaa vizuri. mtoto wa kisukuma ananyata taratibu, jambazi la kimasai kelele sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom