UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
ni lahisi kumuokoa mwizi kwenye kundi la manabii!...lakin ni ngumu san kumuokoa nabii kwenye kundi la makahaba'&&&& shalot sana kwa ukawa.
 
Tunasubiri kumwapisha EDO. Mwaka huu vijana wana vichinjio(kadi za kupigia kura) kwa hiyo msitumie statistics za mwaka 1995 ambapo Mrema alishindwa ku draw conclusion.
 
Habari wakuu..
Natumai mu wazima..uzi huu ni maalum kwa hawa washabiki wa ukawa...unajua tatizo kubwa ukawa ina mashabiki vijana hasa wa mitaani na pia wanaoshinda mitandaoni....hembu ongeeni fact yani kutwa kucha ni kumsifia lowassa lakini ukiulizwa lipi zuri alilofanya huna lakujibu ila kuongea tuuh bwana mmebarikiwa...sikatai lowassa ni kiongozi mzuri tuu sana anafaa sana kuongoza lakini hafit hata kidogo kuwa rais wa nchi hii...Ana uchu wa madaraka uliopitiliza....hembu niambieni sababu kubwa ilomfanya lowassa kuhama from ccm to chadema...kweli kukatwa tuuh ndo kumsababishe akisaliti chama kilichomlea?? kwani ikulu kuna nn kinachokimbiliwa kiasi hcho mpaka watu kutaka kutoana roho??? Kwa mara nyingine tena em mfikirieni huyu mgombea wenu na sera zake....
 
Ukitaka kujua anatafuta. nn waulize akina wasira toka enzi yupo bungeni na wengine wengi tu wabunge mawaziri madiwani etc Hivi wasipogombea tena hakuna wengine wanaoweza kuongoza?Wengine wanadiriki kutumia mkong'oto na pesa.Ukipewa Jibu rudi hapa ukiwa umepunguza ashiki majnuni.
 
Iwe isiwe, inyeshe mvua liwake jua ipige radi au kivume Kimbunga Rais wa Awamu ya Tano ni John Pombe Joseph Magufuli. Lowassa pamoja na genge lake wameruhusu Magufuli kuwa Rais tangu Jumapili ya tarehe 12 July, Mpango mzuri ukasukwa ukasukika mwenyewe kajitoa Ccm. Ukizungumzia Uchafu, Rafu, fujo na dhulma yoyote waliofanya kwny Uchaguzi 2005 Lowassa ndo alikuwa Chairman wa Mtandao wa Ushindi, kumsafisha Lowassa kwny Hilo ni kusafisha ushindi wa Jk 2005, Haramu haiwezi kuwa halali kwa kuwa umeweka kwny Kikombe chenye Tohara. Lowassa kwa kushirikiana na kina Rostam na Jk wameumiza wengi sana sana, kuanzia Salim Ahmed Salim na wengine wengi, leo dhambi hii lazima imtafune kabla hajafa, Rostam nae kakimbia Nchi hawezi tembelea gari isiyo na Tinted, bado Bwana harusi wao hana hamu nae anaona siku haziendi.
 
ukawa'sisi vijana ndiyo tuliomchagua EL agombee urais!kura yangu ukawaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom