UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
huyu mgombea anatakiwa ajitoe tu kukwepa aibu inayokuja mtaani ukikatiza na nguo za kijani ni zomea zomea tu ..yaani ccm wanatembea na sare zao kwenye mifuko ya rambo ni aibu mitaani, maofisini ni lowasa tuu
 
huyu mgombea anatakuwa ajitoe tu kukwepa aibu inayokuja mtaani ukikatiza na nguo za kijani ni zomea zomea tu ..yaani ccm wanatembea na sare zao kwenye mifuko ya rambo ni aibu
Magufuli ni mpambanaji, na atashinda kwa kura, si huyu mgonja hata ukiuliza kapita kwa kura ngapi kugumbea uraisi haijulikani. Kwanza tanzania haitaongozwa na kiongozi mwenye afya dhoofu
 
Ccm yeyote akivew result hapo juu atazimia dah nasikitika sana miaka ya nyuma bilikua napigia kura ccm dah najiona nilikua lijinga fara pumbavu kama wapumbavu wengine humu
 
Kwa Mara ya kwanza nilianza kuichukia ccm siku ya bajeti ya wizara ya elimu ambapo baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala campus ya dar(kitivo cha afya) tulienda bungeni kuwasilisha matatizo yetu kwan tulienda ofisi nyng hapa dar pasipo majibu,tukaamua baadhi twende mjengon ambapo tulimtumia mbuge wa ccm ila tulipo kuwa njian yule mbuge alitupigia simu na kutukataa ikabidi tutafute msaada kwa upande wa upinzan na tunamshukuru mungu tulipokelewa salama,cha ajabu na kilichonifanya mpka leo niichukie ccm wzir mkuu alikili waz kuwa hcho chuo ni takataka na hakifai ila wazir wa elimu dkt kawamba bungen alijbu kuwa serikali ya CCM iliyopo madarakan na ijayo haiwez kamwe kusolve tatizo letu,majibu Yale yalituuma na kutufanya tuchukie ccm
 
Mpka sasa baadhi yetu tupo mtaani na kesi inaandaliwa kufunguliwa vijana wengi tunaosoma chuo hiki tunaamin ukawa wakiingia madarakani hili tatizo mtalitatuwa na vijana wengi wa hapo Kampala tupo tayar hata kuwapigia kampen ukawa kwn serikal ya ccm imeshndwa hvyo basi ukawa tupo pamoja na tupo tyr kuwapigia kampen na tunaiman na nyie,ukawa daima na lazima mshindi tutaanza na kumpiga chini mbuge wa ccm anayegombea jimbo hili (ukonga), UKAWA daima na ss vijana waathrika wa hili tatizo tutawasapot ukawa
 
CCM Tunajaribu kuonyesha Democrasia
Kuwa chama hakimilikiwi na mtu au kundi lolote
Ndio maana tumetoa uhuru wa kila mtu
Kuonyesha nia tofauti na vyama vingine.
Pia kuonyesha kila mtu anauhuru katka chama


CUF- Mtiania ni yuleyule miaka yote
TLP- nani?
CDM- wale wale

TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA 👇👇👇
----------------------------------------------
Katika usomaji wangu nikaipata hii...
1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro


asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa
Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce
Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Bora hiyo kuliko watu Wa bagamoyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom