UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
ccm kuwekwa makumbosho ya taifa tar. 25 October kwa heshima ya Nyerere tu.
 
Ukawaaaaaa mwanzo mwisho,mbele mbeleyao nyuma nyumayao ccm kwishiniiiigaah
 
Ukawaaaa....Lowassaaaaaa...

CCM wamekufa muda tu....
 
Wapiga kura wengi wako huko vijijini hawana access na internet na wala haijuwi UKAWA, teh teh teh teh teh.
 
humu UKAWA mnajidanganya tu, naonaga Poll zenu zote za internet huwa mnashinda dhidi ya ccm, but tukienda kwenye masanduku ya kupiga kura mnapigwa KO. Sababu ni hii, wapiga kura wengi hawaijui Fb wala JF
 
Currently 390 voters, UKAWA 87% CCM 11% and not decided zilizobaki maana hizo zina decimal points.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom