UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
alaf huyu Tony Anton mbona anarudia kupiga kura mara nyingi, kwenye mahesabu zingatien hili
 
Last edited by a moderator:
Kwa umaarufu wa Lowassa,wapo wanaCCM(hasa hao wa vijijini mnaojidai nao) watakaompigia kura wakidhani safari hii CCM wamesimamisha wagombea wawili; hapo ndipo kutakuwapo na kilio na kutoa makamasi kwa CCM. Endeleeni na matwaweza yenu, shauri yenu.
 
TWAWEZA kweli kiboko naona wamefanya pro-Chadema wamepagawa ovyo kila wakikutana wanapiga kura.

Teh teh teh

Hizi kura kama za Kilimanjaro Music Award.

Unajipigia tu.

Kura Za Kujifariji Hahahahahahah Wamepagawa Hawa Watu!!Afu Wanajitamba Kabisa

Hamna Namna Ni Magufuli Tu

Magufuli For Change

Kamanda kwa hiyo hizo kura tunapiga kwa siku tatu mfulilizo kila dakika ukijisikia kupiga kura unapiga tu, Multiple IDs zako zote kumi zitapiga kura?

Ahaahhaha haha, vipi tena wakuu, mimejikuta na nyie "munapagauwa" ghafla.??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom