MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Hamna Namna Ni Magufuli Tu
We nae mbona unapiga kura mwenyewe tu..waite na wenzio wakusaidie kumpigia huyo magufuli
Hamna Namna Ni Magufuli Tu
Kamanda kwa hiyo hizo kura tunapiga kwa siku tatu mfulilizo kila dakika ukijisikia kupiga kura unapiga tu, Multiple IDs zako zote kumi zitapiga kura?Kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.
Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.
Kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.
Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.
CCM na Makofuli wapo taabani.
Tony Antony upo kama una genye vile
Wenzako wanapiga mkwanja Wa escrow, Richmond, epa wana Malory kibao wewe kama una Gari lazima litakuwa LA mkopo na halizidi 7m
Tafuta ela ule na ndugu zako sisi zamu yetu wana Ukawa ni zamu yetu kupiga ila tutapiga ela kwa kuweka miradi inayo lipa na kila MTU atafurahi
Sio ninyi mnaoharibu hata pesa yetu hii nchi ingekuwa na watu wanaojielewa huyo Vasco da gama angekula bakora pamoja na weajinga wengine kama wewe
Nyambaf