Elections 2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

Unapotaka nilinganishe uhalifu wa tanzania na south africa, nikishalinganisha inasaidia nini..? Nani kakwambia kwamba kipimo cha uhalifu wa tanzania ni south africa kwa nini isiwe congo, rwanda, uganda nk..!? Au kwani south kukiwa na uhalifu mkubwa inakuwa ni haki tanzania kuwa na uhalifu..?
vijana wa ccm mjifunze kusoma makala na vitu mbali mbali, mnazorotesha nchi kuwa na vijana wenye ufahamu mdogo
kipindu pindu ni kati ya magonjwa yanayoonesha ni kiasi gani nchi ina umaskini, kwasababu mara nyingi husababishwa na huduma mbovu za jamii ikiwepo
1.makazi
2.upatikanaji wa maji safi na salama
3.usafi wa mazingira(uzoaji wa taka taka)
4.mipango miji mibovu
5.high population density in the cities(watu kukimbilia mjini kusaka maisha bora)
6.huduma mbovu za afya jamii(public health)
Na nchi nyingi duniani zilitokomeza kipindu pindu mda mrefu sana, kama uk, us tangu miaka ya 1800 huko
so ni indicator jinsi huduma za jamii zilivyombovu under ccm na hayo ndo mambo ya kuongea na muache kumsingizia mtu mmoja ndo ksasababisha, maana sasa kila kitu lowasa ndo kasababisha

Tatizo unataka kuingiza utaalamu katika Afya na siasa.

Malaria kama ilivyo kipindupindu ni ugonjwa uliosumbua sana nchi masikini lakini ndani ya miaka mitano iliyopita Malaria imepungua na kupunguza vifo kwa zaidi ya 50%.

Ukimwi vile vile umepungua kutoka 8% ?mpaka 5% katika kipindi hicho hicho.

Magonjwa ya kuhara na vifo vitokanavyo vimeanza kupungua yameanza kupungua katika kipindi hiki cha miaka mitano.

Point yangu hapa ni Unailaumu system hiyo hiyo ambayo imefanya mazuri mengi isipokuwa katika kipindupindu tena kinachotokea Uswahilini tu.

Kuhusu uhalifu ...nilikuwa nakushangaa tu ulivyomention issue ya mtu kuchomwa kisu kwenye basi...na wewe ndio inakuwa ni sababu ya kuikataa ccm na kutaka kuwapa Genge la wahuni.
 
fisadi aonyeshwe kuwa uraisi haujaribiwi, ni kumtosa tuuu fisadi lowasa

Rejea kauli ya slaa "choo" bora aliyetoka chooni au waliobaki?? na choo ni nani?? Mwulize makamba aliyejaribu kubip watu uwanja wa taifa jana watu hawakumkopesha wakampigia,naamin hajalala usiku wa kuamkia leo
 
Wewe ni mkongwe humu tulia uje na hoja.
Hii ni Chadema au CCM,CUF na NCCR ndani ya Chadema.unaanzia wapi kubebesha mzigo wa kuongoza watanzania na kuwakwamua kutoka lindi la umasikini kwa Genge lenye wanaopigania maslahi tofautitofauti bila uongozi thabiti.

Lipumba na Slaa hawapo na walikuwa japo viongozi ambao wangeweza kulituliza genge hilo.

Hebu njoo kama Chadema asilia na sio mfuata mkumbo au maslahi.



Huyu Jamaa anatabia sawa na dr slaa ...embu angalieni post zake za nyuma mtamjua zaidi...
 
Kwahiyo dr mo lowassa na timu yake kwa akili na imani yk akiwa rais ndo atabadilisha hayo usemayo?alikuwa waziri mkuu na ameshika nyadhifa nyingi sana serikalini,ni lini alikemea au kubadilisha hayo usemayo?kuwa mkweli acha blah blah
Mimi sipendi unafki na ushabiki
1.viongozi wa chadema ni watendaji wazuri sana na bahati nzuri wana damu mpya ya vijana wanaosoma na kufanya homework zao, tunawaona wakina mnyika bungeni, wanasoma miswada na kuchangia vilivyo, tunaona kazi za lema, nasari kuleta maendeleo, sisi tunataka hiyo tanzania, ambayo itabadilisha hata fikra na mtazamo wa vijana wengi tanzania, belive me nimetoka nje ya tanzania vijana wengi wamechangamka sasa, si mazezeta na wavivu ka vijana wa tanzania, lakini hii italetwa kwa kuwapa cream ya vijana wa ukawa madaraka ofcorse kwa kushirikiana na watu kama akinia mwigulu et al.
Ila kuendelea kuwakumbatia watu waliochoka kama kina makinda, ndungai, wasira, tibaijuka, chenge, magembe ni kuitumbukiza nchi kwenye umaskini zaidi na hamna changamoto zaidi ya busness as usual.
2.lowasa ni mtendaji haswa kwenye piblic na binafisi, ukiangalia wizara alizopita kafanya kazi, wizara ya maji na ubunifu kama dawasco na mradi wa ziwa victoria, shule za kata(japo hakupmaliza
mpango wake na kadhalika) alafu ni persistance VIJANA wengi wa tanzania tunatakiwa tumuige lowasa, ni persostance na jasiri kwenye kutafuata maisha na madaraka, anatafuta anachokiamini mpaka mwisho, unfortunately vijana wengi wa kibongo hatuna hiyo ni watu wa kukata tamaa kirahisi, kielimu, kutafuta maisha hata kazi leo hii kijana wa kitanzania akienda kwenye interview mbili tatu akitoswa anakata tamaa, lakini lowasa anaonesha unaweza kwenda hata interview 20 lakini ili mradi uwe unapigania kile unachokiamini na unaweza kupata.
3.turudi kwenye swali so ukawa na lowasa siamini kwamba watawajaza hela wananchi mofukoni ila watatengeneza foundation mpya ya nchi kwa mfano:-
1.kuweka na kurudisha displine ya watanzania kufanya kazi
2.kuweka mitaala mipya ya elimu
3.kupitisha katiba mpya ambayo ni bora sana(rasimu ya warioba)
4.kujenga vyuo vya ufundi zaidi ili kutengenezea vijana uwezo wa kujiajiri
5.kilisuka upya jeshi la polisi na kuweka vijana wasomi kwenye jeshi la polisi ili liweze kuendeshwa kisayansi
6. Kuvisuka upya vyombo vyeti vya habari hasa TBC na magazeti ya serekali
7. Kuondoa status quo na kuteua damu changa kwenye position mbali mbali ili kuleta uwajibikaji, kuondoa rushwa nk
8.kubadilisha mfumo wa serekali km kuondoa mrundikano wa vyeo kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa wilaya nk nk
haya yote na mengine mengi tuyasahau CCM ikiendelea kutawala..!!
 
Umebakia kuangalia spellings wakati hiyo siyo ishu... Jadili hoja

Hapana si spellings ni upumbavu na pia kuchafuliwa kwa Kiswahili na wanaojidai wazalendo kumbe hata uzalendo wa lugha yao ya taifa unawashinda.
 
fulsa=typing erro.
Ujinga kilamtu anao kasoro wewe tu hauna ujinga ni upumbavu ndo umekujaa.
Unge rekebisha unge pungukiwa nini?

Hiyo si typing "error", tazama "R" iko wapi na "L" iko wapi kwenye keyboard yako.

Huo ni ujinga wa asili.

Na unapokosolewa na kuoneshwa makosa yako ukajidai mjanja kumbe ujanja hauna, ndiyo unazidi kujidhihirisha kuwa ujinga upo ndani ya damu yako. Kumbuka - "we learn from our mistakes".
 
Tatizo unataka kuingiza utaalamu katika Afya na siasa.

Malaria kama ilivyo kipindupindu ni ugonjwa uliosumbua sana nchi masikini lakini ndani ya miaka mitano iliyopita Malaria imepungua na kupunguza vifo kwa zaidi ya 50%.

Ukimwi vile vile umepungua kutoka 8% ?mpaka 5% katika kipindi hicho hicho.

Magonjwa ya kuhara na vifo vitokanavyo vimeanza kupungua yameanza kupungua katika kipindi hiki cha miaka mitano.

Point yangu hapa ni Unailaumu system hiyo hiyo ambayo imefanya mazuri mengi isipokuwa katika kipindupindu tena kinachotokea Uswahilini tu.

Kuhusu uhalifu ...nilikuwa nakushangaa tu ulivyomention issue ya mtu kuchomwa kisu kwenye basi...na wewe ndio inakuwa ni sababu ya kuikataa ccm na kutaka kuwapa Genge la wahuni.
Ndo tatizo la vijana wa ccm hata current affairs hamfuatilii .
Siasa inachagua viongozi ambao wanakuja kupanga policies mbali mbali za afya. Magufuli ni mwanasiasa lakini alikuwa anaongelea afya" kwa kusema madk na manesi wanaiba dawa" na ccm haijawahi kukamata hata mmoja" so haya mambo ya kusema usichanganye siasa na afya, siasa na dini hayana nafasi sana ni mawazo ya kizamani..
mimi nimeongelea kipindupindu wewe unanitajia HIV na malari na kuja na statistics za kikwete na mama salma..
hautwezi keelewana na hukunielewa..!? All in all tuache kudanganyana ccm imeshidwa sana kwa miaka 54 na bahati mbaya sana walitaka watu waamini mtu mmoja ndo lachangia asilimia 99.99 kushidwa kwao, yaani lowasa ndo kasababisha yote lakini watu wamebadilika and it's too late for them.
 
Dr mo ubavu wa kunizidi mm kwa chochote kile huna si
1.Elimu
2.Kipato
3.Uelewa
4.Mengineyo mengi
Km unafikiri au unaamini lowassa na genge lake watabadilisha maisha yako na hao wengine wenye akili za nyumbu km zako unajidanganya ndg,mwanasiasa hawezi badilisha maisha yk au mtu mwingine yyt yule,fanya kz kwa bidii na maarifa,fursa bado zipo nyingi sana ktk nchi yetu,inahitajika kujituma na kujitoa sadaka na kujinyima ili upate maisha bora,si ccm wala ukawa itabadilisha maisha yk,na hakuna anayewadharau ila unapotaka kufanya jambo fulani tafakari kwa kina hlf ufanye maamuzi sahihi.
Usishabikie jambo kwa mihemko au kwa kufata mkumbo
 
meningitis

Ungejiuliza kwanza ni kwani CCM hawataka kuondoka Ikulu?Ikulu kuna kitu gani ambacho kinawafanya CCM wang'ang'anie kihivyo?.

Kwanini CCM wanakuwa wakali kama simba aliyegushwa nyeti zake pale kinapojitokeza chama kinachoonekana kuwa kinaweza kuitoa CCM madarakani?ikiwa ni pamoja na kuwabambikizia makosa ya ugaidi,kuwazulia mambo ya udin na ukabila ili mradi tu CCM waendelee kuwepo madarakani.

Kwa upande wa Lowassa ni kweli alikuwa ni mwanachama wa CCM ambaye alikuwa ni kiongozi ndani ya serekali ya CCM na ameshindwa kuupata urais ambao alikuwa ana utafuta kwa udi na uvumba.

Lakini baada ya kungundua kuwa CCM ndiyo kikwazo kinachowazuia vingozi wenyenia njema ya kuiletea nchi maendeleo kwa sababu CCM hawana nia ya kuleta maendeleo,ameamua kuachana na CCM ameungana na wenye nia njema ya kuiletea nchi maendeleo ili ndoto yake ya kuleta maendeleo yaliyoshindikana wakati akiwa ndani ya CCM iweze kutimia.
 
Last edited by a moderator:
Dr mo ubavu wa kunizidi mm kwa chochote kile huna si
1.Elimu
2.Kipato
3.Uelewa
4.Mengineyo mengi
Km unafikiri au unaamini lowassa na genge lake watabadilisha maisha yako na hao wengine wenye akili za nyumbu km zako unajidanganya ndg,mwanasiasa hawezi badilisha maisha yk au mtu mwingine yyt yule,fanya kz kwa bidii na maarifa,fursa bado zipo nyingi sana ktk nchi yetu,inahitajika kujituma na kujitoa sadaka na kujinyima ili upate maisha bora,si ccm wala ukawa itabadilisha maisha yk,na hakuna anayewadharau ila unapotaka kufanya jambo fulani tafakari kwa kina hlf ufanye maamuzi sahihi.
Usishabikie jambo kwa mihemko au kwa kufata mkumbo
Usipanic maana ulivyopanic ntakuwa nimekuzidi na unategemea " urahisi" wa maisha kama ccm ikibaki kutawala, maana nina ukakika wa kijana aliyepigania maisha yake mwenyewe na ambae hajabebwa kwenye maisha na hategemei kubebwa hawezi kuipigania na kuishngilia ccm hilo nina asilimi zillions. Unapreach uongo hapa kama kawaida yenu na kuniita nyumbu lakini hauko hivyo, so usipanic mimi nawaelewa vizuri sana.
somo lingine nalokupa ni kwamba, kufanya kazi kwa bidii ndo msingi wa maisha, lazima utoe jasho, lakini huwezi kitoa jasho alafu jasho lako watu wanalichukua inakuwa haina maana, ndo maana tunategemea kuwepo kwa serekali nzuri inayoweka mazingira mazuri kiasi kwamba sasa ukifanya kazi kwa bidii unaofurahia matunda ya kufanya kazi kwa bidii
inaonesha tu upeo wako mdogo kwa kuamini nategemea lowasa akishinda nilale ndani yeye aje aniletee hela ya kula, u know for sure sikumanisha hivyo ila supporter wa ccm hujitoa ufahamu ili kudimise watu(ndo maana huwadegrade watu kwa kuwaita nyumbu na wanywa viroba) wakati mtu mwenye uelewa akiwasoma btn the lines anaona vice versa is always true.
Ila yote yatafutwa kwa kuleta watu wenye fikra mpya na mawazo mapya kwenye serekali..
 
meningitis

Lowassa akiwa shetani,Magufuli akiwa Mungu,nitamchagua Shetani kwani tumechoshwa na ccm.
 
Last edited by a moderator:
Elewa mada mkuu.
Haijalishi maslahi mapana ya Nchi ni yapi mada hapa ni Genge la wahuni ambalo ni hatari kwa utekelezaji na usimamizi wa hayo unayoyataka.

Nadhani Una Shida/tatizo Fulani Ktk Kuangalia Mambo Kwa Jicho Makini. Hivi Kuna Uhuni gani? Ifahamike Kuwa Kila Mtanzania Ana Haki Ya Kuamini Anachoamini Na Aheshiwe, asibezwe. Mimi Siamini Kama Kuna Uhuni Unaopita Ule Wa ESCROW, MANUNUZI YA RADA, RICHMOND, LOLIONDO GATE, WATZ KUTUKANWA NA WATAWALA
 
meningitis

uchambuzi mzuri..kuna kundi moja la walokole wamegeuzwa zombie na wapigaji aina ya gwajima kushabikia ukawa. wana link na yule tapeli wa naigeria aliyemtabiria edo kushinda. edo akishinda hao wachungaji feki wanaona biashara yao ya makanisa itapaa.
 
Last edited by a moderator:
Ndg meningitis,kwa taarifa tu ni kuwa lowassa na wafuasi wake wote wapo kila kona hasa kwenye tasnia nzm ya hbr,blogs,forums mbalimbali na vyombo vyote vya hbr vimetekwa na huyu ndg,lengo kuu ni kumsafisha na kupinga kila lisemwalo hasa likiwa nje au linapopingana na ndg lowassa na wengi wao ni hayo makundi uliyoyasema wao wapo tayari kwa lolote alimradi lowassa apate madaraka kivyovyote vile.
Suala la uadilifu ktk uongozi kwao its not an issue anymore,wanataka Mabadiliko no matter what,hivyo kuelezea udhaifu na shortfalls za cdm na ukawa na ni kupoteza muda na utapingwa sana,imani yao ni kuwa lowassa akiingia madarakani maisha yao yatabadilika kwasababu wengi wao wako hoi na wana tamaa ya maisha makubwa,wanaamini lowassa atabadili maisha yao kutoka ktk shida walizo nazo na kuwa matajiri,kiufupi wengi wao wana akili za nyumbu hivyo ht usemaje ni kz bure unapoteza muda wako

Hivi huwa munatumia background gani kuanalyse hoja zenu? Naona lengo menu no kuitetea ccm, lakini munasahau kwamba mazingira yote ya mambo hayo yametengenezwa name ccm hiyo hiyo. Leo tunamtaja Lowassa kama ccm haitoki basis with was aina ya Lowassa wapo name wataendelea kuibuka tu. Hebu jengeni hoja kwa upeo mkubwa. Makosa ya Lowassa huwezi kuyatenganisha name ccm hats kidogo.
 
Ndo tatizo la vijana wa ccm hata current affairs hamfuatilii .
Siasa inachagua viongozi ambao wanakuja kupanga policies mbali mbali za afya. Magufuli ni mwanasiasa lakini alikuwa anaongelea afya" kwa kusema madk na manesi wanaiba dawa" na ccm haijawahi kukamata hata mmoja" so haya mambo ya kusema usichanganye siasa na afya, siasa na dini hayana nafasi sana ni mawazo ya kizamani..
mimi nimeongelea kipindupindu wewe unanitajia HIV na malari na kuja na statistics za kikwete na mama salma..
hautwezi keelewana na hukunielewa..!? All in all tuache kudanganyana ccm imeshidwa sana kwa miaka 54 na bahati mbaya sana walitaka watu waamini mtu mmoja ndo lachangia asilimia 99.99 kushidwa kwao, yaani lowasa ndo kasababisha yote lakini watu wamebadilika and it's too late for them.

Narudia usichanganye siasa na afya kwa sababu utachemka.

Kwa maoni yako kipindupindu kimesababishwa na siasa mbaya za ccm?ina maana katika eneo kubwa la nchi ambalo halijapata kipindupindu basi kuna siasa safi za ccm?
Hiyo ndio conclusion uliyonayo...ndio maana nikakupa mifano ya magonjwa mengine yanayohusianishwa na Tabia na hali za kiuchumi na kukuonesha trends za magonjwa hayo.

Kama unachukulia sekta husika hazijafanya kazi kwa nini hujasikia kipindupindu Arusha au Mwanza au masaki mpaka sasa?

Ifike wakati tutenganishe siasa na utaalamu...hata USA na UK survellance ya kipindupindu inaendelea na haitashangaza kusikia kuna mlipuko wa kipindupindu.

Magufuli kaongelea afya kuhusu upatikanaji wa dawa...ni kweli dawa zinaibiwa especially katika level ya zahanati na vituo vya afya.

lakini kama ni mfuatiliaji Ilani ya CCM inaongelea kiuhalisia zaidi kuhusu universal coverage ya bima za afya,inaeleza kwa sasa tuko less than 20% na inaelekeza kuwa tunatakiwa kufika 30%,hizi ndio issues za Siasa ya Afya lakini ulivyokiongelea kipindupindu ulichanganya Afya na Siasa.
 
Ukiona watu wanakwenda kutafuta usalama kwa shetani ujue kuwa kwa Mungu kunawaka moto usiovumilika.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom