Elections 2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

Maslahi mapana ya nchi hii ni haya hapa:
1. Ukosefu wa maji wakati maziwa ni mito nchini ni bwelele?
2. Kulipia umeme wakati kimsingi hulipii ukeme bali unalipia mishahara ya EWURA?
3. Wananchi kufanywa wajinga kwa kupewa ahadi zisizotekelezeka?
4. Mawazo mmgando?
5. Wananchi kuambiwa watafanyiwa hiki wakati zaidi ya miaka 50 walishaambiwa lakini mpaka sasa hawajatekelezewa?
Au sijakuelewa?
 
Ndg meningitis,kwa taarifa tu ni kuwa lowassa na wafuasi wake wote wapo kila kona hasa kwenye tasnia nzm ya hbr,blogs,forums mbalimbali na vyombo vyote vya hbr vimetekwa na huyu ndg,lengo kuu ni kumsafisha na kupinga kila lisemwalo hasa likiwa nje au linapopingana na ndg lowassa na wengi wao ni hayo makundi uliyoyasema wao wapo tayari kwa lolote alimradi lowassa apate madaraka kivyovyote vile.
Suala la uadilifu ktk uongozi kwao its not an issue anymore,wanataka Mabadiliko no matter what,hivyo kuelezea udhaifu na shortfalls za cdm na ukawa na ni kupoteza muda na utapingwa sana,imani yao ni kuwa lowassa akiingia madarakani maisha yao yatabadilika kwasababu wengi wao wako hoi na wana tamaa ya maisha makubwa,wanaamini lowassa atabadili maisha yao kutoka ktk shida walizo nazo na kuwa matajiri,kiufupi wengi wao wana akili za nyumbu hivyo ht usemaje ni kz bure unapoteza muda wako
Sijajuaga ni nini kinawapaga kiburi vijana wa ccm kutukana watanzania wenzao matusi..
1.nyumbu
2.wanywa gongo
3.malofa
4.wapumbavu nk
Inaweza kuwa ni sababu moja ya watu kutaka ccm iondoke madarakani maana ni kiburi kisichokiwa na sababu na ulimbukeni, kuna mtu anaweza kukuita ntumbu lakini ukisoma anavyoandika unaona kabisa huyu mtu nimemzidi
1.elimu
2.kipato
3.uelewa nk
Ila kiburi kinakuja tu kwa sababu either ni mtu wa ccm ambaye either ni mtoto wa kigogo wa ccm au mlamba miguu wa kigogo wa ccm ambaye kwa uelewa mdogo anadhani ana hati miliki ya tanzania..watch out
 
Kwahiyo dr mo lowassa na timu yake kwa akili na imani yk akiwa rais ndo atabadilisha hayo usemayo?alikuwa waziri mkuu na ameshika nyadhifa nyingi sana serikalini,ni lini alikemea au kubadilisha hayo usemayo?kuwa mkweli acha blah blah
 
Maslahi mapana ya nchi hii ni haya hapa:
1. Ukosefu wa maji wakati maziwa ni mito nchini ni bwelele?
2. Kulipia umeme wakati kimsingi hulipii ukeme bali unalipia mishahara ya EWURA?
3. Wananchi kufanywa wajinga kwa kupewa ahadi zisizotekelezeka?
4. Mawazo mmgando?
5. Wananchi kuambiwa watafanyiwa hiki wakati zaidi ya miaka 50 walishaambiwa lakini mpaka sasa hawajatekelezewa?
Au sijakuelewa?

Elewa mada mkuu.
Haijalishi maslahi mapana ya Nchi ni yapi mada hapa ni Genge la wahuni ambalo ni hatari kwa utekelezaji na usimamizi wa hayo unayoyataka.
 
Kha maccm mnachekesha kwel hiv maguful na samia sululu wanapiga kampeni za kutaka kwenda wap? Mbingun? Au wap vile? Halaf hii tabia ya kutishia watu oo wapinzan wataondosha aman mkome kabisa! Aman nchi hii haipo kwa malofa bali kuna uvumilivu tu! Warudishen hawa maskin nyumban kwao jana wamelala kisesa baada ya katibu wa ccm wilaya ya magu kuwatoroka
meningitis
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kutukalia na umasikini miaka 50+ eti
Safari hii hakuna ----.

Wewe ni mkongwe humu tulia uje na hoja.
Hii ni Chadema au CCM,CUF na NCCR ndani ya Chadema.unaanzia wapi kubebesha mzigo wa kuongoza watanzania na kuwakwamua kutoka lindi la umasikini kwa Genge lenye wanaopigania maslahi tofautitofauti bila uongozi thabiti.

Lipumba na Slaa hawapo na walikuwa japo viongozi ambao wangeweza kulituliza genge hilo.

Hebu njoo kama Chadema asilia na sio mfuata mkumbo au maslahi.
 
Umeshawahi kusikia uhalifu South Africa?

Unaulinganisha vipi na Tanzania?

Unatofautisha vipi kipindupindu,malaria,typhiod,Ukimwi na kisukari??
Unapotaka nilinganishe uhalifu wa tanzania na south africa, nikishalinganisha inasaidia nini..? Nani kakwambia kwamba kipimo cha uhalifu wa tanzania ni south africa kwa nini isiwe congo, rwanda, uganda nk..!? Au kwani south kukiwa na uhalifu mkubwa inakuwa ni haki tanzania kuwa na uhalifu..?
vijana wa ccm mjifunze kusoma makala na vitu mbali mbali, mnazorotesha nchi kuwa na vijana wenye ufahamu mdogo
kipindu pindu ni kati ya magonjwa yanayoonesha ni kiasi gani nchi ina umaskini, kwasababu mara nyingi husababishwa na huduma mbovu za jamii ikiwepo
1.makazi
2.upatikanaji wa maji safi na salama
3.usafi wa mazingira(uzoaji wa taka taka)
4.mipango miji mibovu
5.high population density in the cities(watu kukimbilia mjini kusaka maisha bora)
6.huduma mbovu za afya jamii(public health)
Na nchi nyingi duniani zilitokomeza kipindu pindu mda mrefu sana, kama uk, us tangu miaka ya 1800 huko
so ni indicator jinsi huduma za jamii zilivyombovu under ccm na hayo ndo mambo ya kuongea na muache kumsingizia mtu mmoja ndo ksasababisha, maana sasa kila kitu lowasa ndo kasababisha
 
Taffman sisi tunachotaka kuitoa ccm madarakani hizo nyimbo za uadilifu kaimbe rumumba
 
Kha maccm mnachekesha kwel hiv maguful na samia sululu wanapiga kampeni za kutaka kwenda wap? Mbingun? Au wap vile? Halaf hii tabia ya kutishia watu oo wapinzan wataondosha aman mkome kabisa! Aman nchi hii haipo kwa malofa bali kuna uvumilivu tu! Warudishen hawa maskin nyumban kwao jana wamelala kisesa baada ya katibu wa ccm wilaya ya magu kuwatoroka
meningitis
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo dr mo lowassa na timu yake kwa akili na imani yk akiwa rais ndo atabadilisha hayo usemayo?alikuwa waziri mkuu na ameshika nyadhifa nyingi sana serikalini,ni lini alikemea au kubadilisha hayo usemayo?kuwa mkweli acha blah blah

Kwa kuwa atakuwa nje ya mfumo uliokuwa unamzuia kubadilisha kwa sasa ataweza,kivumbi kiko kwa Magufuli ambaye ana taka tumuamini wakati yuko ndani ya mfumo uleule ambao viongozi wengi walikuwemo na yeye mwenyewe akiwa kama kiongozi katika mfumo huohuo lakini wameshindwa kuleta mabadiliko.
 
Back
Top Bottom