UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

acha upimbi wewe,hayo matokeo wanamtangazia nani? kupiga kura tutapiga na kulinda tutalinda kulingana na sheria ilivo wazi kwa umbali ulioelezewa...chagua Lowassa,chagua ukawa=Tanzania mpya
1. Pimbi ni wewe hivi hapo ukiulizwa kwa nini usubiri wakati ukija kesho utayakuta yamebandikwa utajibu??!!!
2. Matokeo ya shuke zamani yalikuwa yanabandikwa ubaoni. . . .nani alikuwa analala nje ya ofisi hizo kusubiri matokeo??!!

Jengeni hoja kwa sheria zilizopo sio haya maneno mepesi ya aina hii. . . . .
 
Kuna watu wengine hawaoni mbele wana fikra mgando hivi kama vyama vyote vitasubiri matokeo mbali huo wanaoutaka na kipindi hicho watu watakua wamechanganyika wa vyama vyote kwenye makundi hayo hivi wanadhani kitakachofatia ni nini? Watu wataanza kurushiana maneno kisha vurugu lazima vurugu zitaanzia hapo tumeona mifano mingi kupitia kipindi hiki cha kampeni watu wavyama tofauti wakipishana tu kutoka mikutanoni vurugu zinatokea ndio iwe kusubiria matokeo mitamia vyama vyote?. Nawashangaa wale wanaojiita wanaharakati kuhamasisha vurugu sidhani kama wanajitabua na mbaya zaidi wenyewe watakuwa makwao wakiangalia kwenye vyombo vya habari huku walio hamasishwa kulinda wakiumia. hivi ? Tujiulize wagombea ubunge udiwani na mawakala wa vyama watakuwepo au hawaaminiki? . Kama swali ni ndio basi hataukilinda nnje ya kituo mitamia haunamsingi wowote. Angalizo tunaohamasishwa tukaemakundi baada yakupiga kura inapotokea tumepata tatizo kwenye matukio kama hayo wale walio tutuma hawaonekani zinazotaabika ni familia zetu na ili muamini hiki ninachokisema sikuhiyo yakupiga kura wenyewe wakiisha piga kura zao hawataonekana kwenye makundi hayo kama yakiwepo tutaumia sisi wenyewe watabaki wakisubiria matokeo makwao. Sababu naamini kila chama kina vijana. Ni hayo tu mungu tuepushe na wachochezi na utulinde na mabalaa amin.
 
tatizo nyinyi huwa mna pesa za kuchezea ambazo ni mali ya umma, huwa mnawarubuni, na wao kutokana na hali ngumu ya maisha wanakubali

Hayo yote ni dhahania tu ya mtu mmoja mmoja. . . . . .Wewe ungekuwa wakala ungenunulika sababu ya hali ngumu ya maisha??!!!
 
Af Ukawa Bwana Kwa Ushabiki!
Sasa Wewe Vituo Vinafungwa Saa 10,wewe Unakaa Eti Unalinda Kura Kuanzia Saa 1 Kama Sio #mkapa'svoice Ni Nini?
Eti Mtu Anadai Mawakala Watanunuliwa,sasa Hata Wakinunuliwa Si Wananunuliwa Wakiwa Ndani Nyie Mtakuwepo Ndani?
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Kabla Hamjaenda Mahakamani kwanza kaeni chini mjiulize VITUONI NI WAPI NA UMBALI WA MITA MIA NI WAPI? Hamjakatazwa kukaa Mita 100 Kulinda hizo kura zenu kama sheria inaruhusu hiyo ni haki yenu. ila ukiwa karibu na kituo na umbali usiozidi mita 100 Jua bado uko Kituoni na Hamtavumiliwa (In Rais Kikwete Voice).

Nimeshangaa sana mlivyo na akili finyu na tena inasikitisha Vichwa maji wenzako eti wana like upuuzi huku Wakiwa hawajui tofauti ya Vituoni na Umbali wa Mita Mia. Poleni sana kama wapiga Kura wenyewe wa UPAWA ndiyo akili zenu hizo bado tunasafari ndefu sana.
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Acha ujinga, watanzania sio wajinga kiasi kwamba washikiwe akili na Mbowe ambaye yeye binafsi wala mkewe na wanawe hawajawahi kuandamana hata siku moja kwa chochote likiwemo hili la kulinda kura. Akitaka hayo akae mbele kabisa wakati wa vurugu ye si anajiita kamanda! vinginevyo Tanzania damu haitamwagika labda damu itakayomwagika ni ya mbuzi watakaochinjwa kusherekea ushindi tu.
 
Kura zinamaliziwa kupigwa saa 10 jioni.Halafu ndo zihesabiwe.Kukaa kituoni siku nzima ndo unazilinda vipi kama utaratibu ndio huo?Tusidanganywe na wanasiasa.
Nafahamu hofu ya upinzani ni kushindwa kuweka mawakala kwenye hivyo vituo na hata wanaowaweka hawana imani nao ya kuwa waadilifu 100% kukwepa kununuliwa.Nadhani hili walitakiwa kujipanga nalo mapema.Kuna maana gani ya kusaini makubaliano ya sheria ya uchaguzi (kuondoka kituoni na kukaa umbali wa mita 100/200 ikiwa ni mojawapo).?
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.
Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo hawatuelezi tutasomaje hayo matokeo yatakayobandikwa vituoni mapema hata kabla ya kuchanwa na washindwa. Au ndio kusema wananchi hatuna haki kuyasoma, kama ni hivyo nini mantiki ya kuyabandika. Maana mawakala watajua matokeo tokea chumba /Sehemu ya kuhesabia kura!!! ? Tume tuwekeni sawa katika hili kuepusha vurugu.
 
Mwaka huu nitalinda kura yangu mwenyewe.
 
Mi nnachoona ni wanajaribu kupotosha watu tuu hii ndo karata ya mwisho,wanasema usibakie kituoni hawasemi kuhusu mita 200,kituoni hamna atakae baki ila mita 100 au 200tunaruhusiwa watz, huu ni muendelezo wa kutuona sisi wote ni akili maiti. Tusikubali hii nchi ni yetu sote kila mmoja afate sheria inavyotaka
 
Who is ICC toa ujinga wako, mahakama hazikuwekwa kwa ajili ya wanyama au miti. Serikali haiwezi kuacha wajinga wachache walithiri taifa kisa kuogopa ICC. Kupigwa mtapigwa na kuvunjwa vyunjwa na ICC kama kuna wa kwenda ataenda lkn nyie mtabaki walemavu maisha yenu yote, maana hakuna namna tena, tumechoka na kutishiwa na nyau wa ICC.

INAMAANA KWA DHATI KABISA MMEDHAMIRIA KUIBA KURA!!
ii
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Nashauri mtanzania yeyote, mpiga kura ana sifa zote za KUENDA mahakamani kutaka tafsiri ya kipengele hicho tata. Kwa sasa chama Lina pressure la kampeni. Mwana MABADILIKO yeyote, waungane ikiwezekana watafutie tafsiri ya kikatiba sasa hivi na sio kesho. Bila hio sahau. Kauli hizi ni za kujaribu kujua kama Raia wanafahamu haki zao za kuomba tafsiri.
 
very good point; sijui kama hatutakiwi kukaa vituoni matokeo ya nini kubandika?

Halafu Nyie Akili Zenu Fupi,sasa Kujiandikisha Na Kupiga Kura Ni Vitu Sawa?Kwahiyo Wewe Ulijiandikisha Halafu Ukakaa Nje Ukisubiri Kwa Siku 3?
Kwan Matokeo Yanabandikwa Saa Ngapi Nyie Watu?Jikusanyeni Kuanzia Saa 10 Watu Wameshamaliza Kupiga Kura Na Vituo Vimefungwa!
 
1. Pimbi ni wewe hivi hapo ukiulizwa kwa nini usubiri wakati ukija kesho utayakuta yamebandikwa utajibu??!!!
2. Matokeo ya shuke zamani yalikuwa yanabandikwa ubaoni. . . .nani alikuwa analala nje ya ofisi hizo kusubiri matokeo??!!

Jengeni hoja kwa sheria zilizopo sio haya maneno mepesi ya aina hii. . . . .

sheria unaijua vizuri au umekalia hear say?unafananisha matokeo ya uchaguzi na ya shule? zamani na sasa? pia umekariri maisha,unaonyesha ulivo pimbi zaidi(low I.Q)...tutazingatia sheria kwa umbali tajwa wa kisheria,hatutovaa nguo za chama au kufanya kampeni pia tutadumisha amani tukisubiri matokeo yatangazwe
 
mkuu unadhani siwez weka tusi hapa la kukukera? Kuwa muungwana tu.... cha msingi je sheria inasemaje? Mbona nchi nyingine wapiga kura wanabaki ..... sio lazima kulinda kura lakini kusubiri matokeo na ndo maana yanabandikwa vituoni.... sasa mnayabandika ya nn kama watu hawatakuwepo?
ok 'mpumbavu' inakera lakini sio tusi mkuu kama neno linatumika kwa usahihi. ok unasema watu wawepo ili kusoma matokeo. sasa matokeo yanasomwa wakati gani? si baada ya kazi ya kuhesabu kura ikishamalizika! sasa wakati kura zinahesabiwa kukusanyika wapiga kura kituoni eti kulinda kura si ndio mwanzo wa fujo. kumbuka ukawa wakisubiri usidhani ccm watalala. wakati sahihi kusoma matokeo ni baada ya kuwekwa matokeo kwenye kituo na uwezekano zaidi ni siku inayofuata.
 
sheria unaijua vizuri au umekalia hear say?unafananisha matokeo ya uchaguzi na ya shule? zamani na sasa? pia umekariri maisha,unaonyesha ulivo pimbi zaidi(low I.Q)...tutazingatia sheria kwa umbali tajwa wa kisheria,hatutovaa nguo za chama au kufanya kampeni pia tutadumisha amani tukisubiri matokeo yatangazwe

Mkuu Kila Wakala Atakuwa Na Copy Ya Matokeo Hata Yakichanwa Yaliyobandikwa Still Wakala Atakuwa Nayo.
Pili,wewe Unasubiri Matokeo Kwani Matokeo Yanatangazwa Saa Ngapi?
 
Hapa kuna hatari ya kutokea vita hata kabla ya matokeo kutangazwa, waache ubabe hao ccm hii nchi ni yetu sote, kama hupendwi kubali ushindwe kihalali. tume ya uchaguzi haiaminiki.

Hakuna vita itatokea hapa, kila mtu atii sheria bila shurti, game bado haijachezwa watu wanaanza kusanda, ni uoga tu unatusumbua kama hatujajiandaa kushinda hatushindi, kuna mechi waamuzi wananunuliwa lakini huezi amini mtu anakula kichapo kama kawa! Kwahiyo tuwe wapole wavumilivu
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Labda damu yako mkuu yangu hapana
 
Back
Top Bottom