UKAWA kuweni macho sana na hili

UKAWA kuweni macho sana na hili

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,646
Reaction score
164,798
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.
 
Endeleeni kukumbatia mafisadi yenu hamna mwenye mpango na nyie tena.
 
Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
 
Wapinzani wameshibdwa kukopu Na kasi ya Mh rais. Wao wamekalia kupinga kila jema la Mh rais. I don't that will pay
 
Ha ha haaaa yaani unamaanisha watumie, tanzania daima na mwanahalisi

wamrudishe kubenea kuwa mhariri wa mwanahalisi

Endeleeni kukumbatia mafisadi yenu hamna mwenye mpango na nyie tena.

Kinyesi hakipuliziwi perfume.

Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
Yani kama pasi ya mpira uwanja ni....halafu hakuna timu pinzani....
 
Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
Focused government,ni kweli hasa na wataendelea kuisoma namba!!!!
 
Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
Mama Samia anakushangaa huko aliko.

Alafu,kama hali ndio hiyo,hofu yenu ya kuonyesha Bunge live ni nini?
 
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.

ww unawaza siasa tu. pole sana watz hatuna mpanga na ushabiki wa siasa ila tunaangalia utendaji.
 
Rais aonyeshwe live, Bunge lisionyeshwe live kisa gharama za Bunge live ambazo ni shilingi bilioni 4 kwa mwaka ni kubwa sana lakini gharama za kukimbiza Mwenge ambazo ni shilingi bilioni 120 kwa mwaka si kubwa sana! Usanii kama kazi CCM ni ile ile haina jipya imejaa usanii wa hali ya juu.

Hahahahahaaaaa. Kwa hiyo hautaki taarifa za Rais zioneshwe live?
 
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.
Wapinzani wa Tanzania amejaliwa kufanya mambo ya hovyohovyo tu kama kuzomeazomea, kutukana, kuangukia kiliowatukana miaka 8 kuwa mafisadi (unafiki). Haya hayafai kuwekwa kwenye Tv.
Yaani baada ya uchaguzi chadema kafanya tukio jema moja tu la kumfaidisha mwananchi nalo ni kutoa damu hapo muhimbili
Sasa wewe kutaka tukio jema la kurushwa kwenye tv kutoka chadema ni kitu hadimusana. Waendelee kujinadi tu kwa yale serikali inafanya na kusema wanatekereza sera zetu.
 
Back
Top Bottom