UKAWA kuweni macho sana na hili

UKAWA kuweni macho sana na hili

Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.

Kwani Msigwa wa Magogoni ametoa kipindi LIVE au ali-record?
 
Very good observation, I second you....
Mradi wawe kimkakati zaid........politics is marathon of marathons
 
Ok....wamesikia yote yaani ushauri na kejeli pia.Tusubiri tuone kama watayafanyia kazi.Naona kwanza waombe ruksa/kibali cha kufanya mikutano nchi nzima ya kuwashukuru wapiga kura wao na kuunga mkono juhudi za sasa hivi za serikali.
 
Rais aonyeshwe live, Bunge lisionyeshwe live kisa gharama za Bunge live ambazo ni shilingi bilioni 4 kwa mwaka ni kubwa sana lakini gharama za kukimbiza Mwenge ambazo ni shilingi bilioni 120 kwa mwaka si kubwa sana! Usanii kama kazi CCM ni ile ile haina jipya imejaa usanii wa hali ya juu.
Huu mchezo hauitaji hasira mkuu kuwa mpole.... Mbowe kuwaletewa kifaa kipya Sumaye kuimalisha chama chenu wasiwasi wa nini.
 
live haikuwa billion 4 bali hiyo pesa ulikuwa ikiliwa na wajanja haikuwa ikifika TBC kuna ufisadi hapo pachunguzwe Vizuri.
 
Hii bilioni 4 ni namba waliyokuja nao CCM akiwemo Magufuli na Nape.

live haikuwa billion 4 bali hiyo pesa ulikuwa ikiliwa na wajanja haikuwa ikifika TBC kuna ufisadi hapo pachunguzwe Vizuri.
 
Hivi ni kweli garama za kurusha bunge ni billion nne mbona star Na azam wanalilia hiyo nafasi awapati ? Kama ni hasara wawaache waliokubali hasara warushe
 
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.
Huu mchezo hautaki hasira!
 
Huu mchezo hauitaji hasira mkuu kuwa mpole.... Mbowe kuwaletewa kifaa kipya Sumaye kuimalisha chama chenu wasiwasi wa nini.
Mkuu, umenifurahisha sana. Sasa wana kifaa kipya in the name of Sumaye. Bado kifaa kingine in the name of Kingunge!
 
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.
Unataka kutuambia kwamba sehemu kuu na muhimu ya kufanyia kazi ya ukawa ni bungeni tu?
Akili zenu zimevurugwa kabisa na magufuli kiasi kwamba hakuna pa kupatia kiki
 
Mama Samia anakushangaa huko aliko.

Alafu,kama hali ndio hiyo,hofu yenu ya kuonyesha Bunge live ni nini?

Unauliza swali wakati jibu unalo...2020 is the focus....

endeleeni kulilia bunge live badala ya kuwa na hoja mbadala....

....bunge live is dead & buried.....msipojiongeza, come 2020 mtaisoma number big time
 
Ukawa Sera yao ni Matukio ndipo utwasikia na kujaza Server JF.Na watasema hao.Hawana Jema toka walivyotuaminisha kisha wakabadili Gia hewani na kutuacha Wananchi Solemba
 
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.

Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.

Ni ushauri tu.
Maxence Melo Mubyazi masikini kumbe alishawahi kusakamwa na serikali wakati wa Jambo forum! Anaogopa. Lakini WAIHUZI huwa ni jasiri sio woga! Anaogopa! Pole
 
Back
Top Bottom