UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

Status
Not open for further replies.
Hii ni official na kwa wanaoangalia ITV sasa wataona wanapitisha tangazo kwa ajili ya mkutano huo SAA 8:00 mchana!
 
Ni ukweli ulio wazi maadili yameshamomonyoka kwa hali mbaya sana. Mtu kuugua au kifo lilikuwa jambo analoachiwa mungu. Nasikitika sana mtu una akili timamu (unaamini mungu ndiye kakuumba) lakini unakuwa na hati miliki ya afya ya binadamu mwezako kama Lowassa. Hivi mmesahau namna gani mheshimiwa raisi Kikwete alivyokuwa anaaguka kwenye mikutano Mara kwa Mara pamoja na kupakaziwa ni mwathirika wa UKIMWI. Mungu tusamehe.
 
Kutakua na Mambo mbalimbali yatakayo zungumziwa tupo pamoja kwajili ya Taarifa. Asanteni

Chadema Kwanza
 
Lowassa kishawahishwa Ujerumani nini kwa matibabu zaidi.

FaizaFoxy kuna kipindi nilikuchukia kwa ubaguzi wa kidini baadae nikakusamehe na nikawa nafuatilia posting zako hapa JF,nasikitika hata mafundisho yenu unaanza kuyaacha kwa kuingilia kazi ya mungu kwa binadamu mwezako kama Lowassa ambaye kama binadamu sharti atarudi mavumbini kama Mimi na wewe iwe kwa kuugua ama ajali. Usijitoe ufahamu dada kwani mungu pekee ndiye anafahamu majaliwa ya viumbe wake au unajitoa ufahamu kuhusu kaka yako JK alivyokuwa anagalagala kwenye majukwaa kwa kujiachia chini kama nazi pevu kipindi cha kampeni zake huku kwetu Mwanza?
 
Ama wanataka kusema mikutano mingi itabidi aongee dakika kumi tu,maana zaidi wataharibu hahahahaha
 
Hvi kwel ed ataweza kusimama walao kwa dk30??

Kuwen wakwel, edo ni mgonjwa..
Tafuten imara...
Jambo la msingi si kwamba tunafurahi ila hatutaki kuwa na rais ambae ni unfit...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom