UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

wakuu taarifa za kuaminika kabisa kutoka intelegensia ya ukawa zinasema tayari mgombea urais kupitia ukawa amepatikana na atatangazwa muda wowote kuanzia kesho kilichokuwa kinasubiriwa ni kwamba kumpata mgombea mwenza wa urais kutoka zanzibar,na baada ya hapo kampeni zitaanza mara moja kuzunguka tanzania nzima kwa kutumia ndege bila kusubiri kutangaziwa na serikali kwakuwa tayari mgombea wa ccm ameanza kampeni kabla ya muda wa kampeni kutangazwa. :My take: leo mimi falcon mombasa namuuliza bwana Magufuli show me your friends then i will tell who you are. wakuu nasisitiza hizi ni taarifa za kuaminika zaidi. nimewasilisha kutoka hapa Mombasa

Shukrani sana kwa kutupatia habari za kuleta ukombozi jioni hii ya leo,
 
Last edited by a moderator:
Hapa kwenye kuanza kampeni mara moja bila kusubiri...nimecheka sana.
 
wewe bado saaaaaana
maana bado wanapasha viporo vyao vya miaka nenda rudi,havipashiki labda wakaombe moto wa gezi ya kichina ndo waweze kuvipasha viporo hivyo lakini mwaka huu havima nafasi ,miaka yote vipo tu vinashidwa vinarudi,havina jipya,
'Magufuli,show me your friends "and" I will tell you who you are'.....falcon mombasa @ JF
 
Taarifa imeletwa kiudaku udaku tu na kuvuta watu waangalie, breaking news za urais kwa ukawa zitaanza baada ya tar 25 tofauti na hapo n udaku tu

Tunaomba kujua sababu iliyo mpeleka mgombea wa ccm kwenda samunge kupata kikombe,je alishapona?
 

Attachments

  • 1437489940296.jpg
    1437489940296.jpg
    10.1 KB · Views: 309
wewe bado saaaaaana
maana bado wanapasha viporo vyao vya miaka nenda rudi,havipashiki labda wakaombe moto wa gezi ya kichina ndo waweze kuvipasha viporo hivyo lakini mwaka huu havima nafasi ,miaka yote vipo tu vinashidwa vinarudi,havina jipya,

Braza mi UKAWA naipenda n mfuasi lakim coment yako imenifanya nicheke sana aisee du!
 
Subirini mkutano kesho mwanza anatangazwa. Itv,ster tv kurusha live kuanzia saa nane mchana.
 
wewe bado saaaaaana
maana bado wanapasha viporo vyao vya miaka nenda rudi,havipashiki labda wakaombe moto wa gezi ya kichina ndo waweze kuvipasha viporo hivyo lakini mwaka huu havima nafasi ,miaka yote vipo tu vinashidwa vinarudi,havina jipya,

Makofuli alipokwenda kupata kikombe kwa babu kule samunge alikuwa anasumbuliwa na nini?na vipi kwa sasa amepona?
 
Wakuu taarifa za kuaminika kabisa kutoka intelegensia ya UKAWA zinasema tayari Mgombea Urais kupitia UKAWA amepatikana na atatangazwa muda wowote kuanzia kesho kilichokuwa kinasubiriwa ni kwamba kumpata mgombea mwenza wa Urais kutoka Zanzibar na baada ya hapo kampeni zitaanza mara moja kuzunguka Tanzania nzima kwa kutumia ndege bila kusubiri kutangaziwa na Serikali kwa kuwa tayari mgombea wa CCM ameanza kampeni kabla ya muda wa kampeni kutangazwa.

My take: Leo mimi falcon mombasa namuuliza bwana Magufuli show me your friends then i will tell who you are.

Wakuu nasisitiza hizi ni taarifa za kuaminika zaidi. nimewasilisha kutoka hapa Mombasa
Me hapo ndo nashindwa kushangaa..!! Mkuu falcon mombasa hebu nisaidie,nnavyojua mimi,mgombea wa urais kupitia chama changu chama cha demokrasia na maendeleo mchakato bado unaendelea. Ukawa itakuwa imejadili jina la nani kwa upande wa chama changu cdm!!??
 
Last edited by a moderator:
mkuu viporo vimeisha chacha hata wafanyeje miaka 10 iliyopita unatengema kitu,
ndo mwaka huu tunavimalizia kuvipeleka shimoni vikaliwe na mbwa

Hata vya kujitibia maradhi?
 
hakuna jipya nyimbo zilezile santuri hilehile,
pelekeni viporo huko mbwa wakale shimoni,

So who is new?..Magufuli?...and what does that suppose to mean?
Remember MVINYO NI ULE ULE ....CCM ......!and Magufuli; mtu mwaminifu kwa CCM na watu wake bcoz as he said ndo walomfikisha hapo alipo!
 
Tunaomba kujua sababu iliyo mpeleka mgombea wa ccm kwenda samunge kupata kikombe,je alishapona?

EBO! we vp si ukamuulize mwenyewe au kawaulize Magamba yenyewe huko sasa mi unaniuliza naishi na makomeo, au nilimpeleka makomeo kwa babu? We jamaa vp au umetoka usingizini. Geraraaiyaaaaaaa
 
Nothing, UKAWA hawana kitu. Kazi yao ni kupiga domo, hamuwezi ongoza hii serikali coz bado viongozi wenu wa juu hawataki kuwa wazi. ACT itawapita, nyie bado mna udini, ukaskazini, umtei, bado mawazo ya wanachama hayana nguvu.

Mmeshaongea sana, kipimo cha Uhuru na kutimiza katiba ya Chama Cha Mapinduzi, nahisi mumeona. Wewe leo mwanachadema kachukue form ya kugombea uraisi hakika watimuliwa uanachama, demokrasia iko wapi hapo? Watu wametimiza haki yao ya kikatiba?
CCM number one

Huo ndio mwisho wa upeo wa uelewa wako na hakuna mtu wa kukukaumu
 
Lowassa ndie mgombea UKAWA..mark my words ..yaani UKAWA wamedhamiria kuua CCM kabisa kwa kuinyonga...hawana muda wa kuwabembeleza, Lowassa ni hatarii
 
Hivi kwani huko Chadema hakuna wanasiasa wengine wa kuweza kubadilisha SURA? Huyo Slaa kashindwa mara ngapi? Au ndio mwenye chama? Siasa za Bongo hovyoooooooo
 
Back
Top Bottom