UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

wadau ni kweli kwamba ukawa na kujisifu kote kushinda uchaguzi asubuhi wanasubiri kushangiliwa kukatwa kwa lowassa?

Unataka hata walio Chicago nao walale kwa vile hapo kwako Manzese tayari ni usiku? Mkuu tunaishi dunia moja ila majira tofauti.
 
hahahahahahaha i believe watamtangaza soon na tunamsubili kwa hamu next president wa JMT kutoka ukawa ccm tumewapa mda wa kutosha miaka 54 inawatosha mwenyekiti wao anajisifia kwa kupungua nyumba za nyasi anasema bati ni nyingi hv leo mambo ya kujisifia miaka ya 1980 karne ya 20 anajisifia leo? na watu wanashangilia dah kweli ccm they using magical power to fool us
 
Siku ukawa wakimtangaza mgombe mmoja wa nafasi ya urais watu watakufa kwa furaha na furaha hiyo hiyo ilisababisha kifo itakuwa ni chanzo cha kuondoka ccm madarakani

Eeeeh kumbe kufa ni rahisi hivyo?
 
hahahahahahaha i believe watamtangaza soon na tunamsubili kwa hamu next president wa JMT kutoka ukawa ccm tumewapa mda wa kutosha miaka 54 inawatosha mwenyekiti wao anajisifia kwa kupungua nyumba za nyasi anasema bati ni nyingi hv leo mambo ya kujisifia miaka ya 1980 karne ya 20 anajisifia leo? na watu wanashangilia dah kweli ccm they using magical power to fool us

Mkuu acha kelele tupo hapa makulu tuna pepeta ngano kuondoa makapi nitazidi kuwajuza zaidi baridi ni kali kwel kwel kama vile tupo k'manjaro
 
Mkuu acha kelele tupo hapa makulu tuna pepeta ngano kuondoa makapi nitazidi kuwajuza zaidi baridi ni kali kwel kwel kama vile tupo k'manjaro
mkuu tunasubili update
 
Halali mtu hapa hadi tuone majizi ya rasmali za uma yakiumbuana
 
Oligopoly theories at work! i.e market leader and market follower.
 
Oligopoly theories at work! i.e market leader and market follower.
Inabidi kumkaba mshindani wako kabla hajajiimarisha.
Nilishangaa sana kusikia ya kwamba watamtangaza Agosti 14, siku kumi kuelekea kampeni.
 
mkuu tupo makini...Mgombea Ukawa ni mmoja tu..tutaenda Ikulu kifua mbele na 70% ya ushind
 
Wakuu taarifa za kuaminika kabisa kutoka intelegensia ya UKAWA zinasema tayari Mgombea Urais kupitia UKAWA amepatikana na atatangazwa muda wowote kuanzia kesho kilichokuwa kinasubiriwa ni kwamba kumpata mgombea mwenza wa Urais kutoka Zanzibar na baada ya hapo kampeni zitaanza mara moja kuzunguka Tanzania nzima kwa kutumia ndege bila kusubiri kutangaziwa na Serikali kwa kuwa tayari mgombea wa CCM ameanza kampeni kabla ya muda wa kampeni kutangazwa.

My take: Leo mimi falcon mombasa namuuliza bwana Magufuli show me your friends then i will tell who you are.

Wakuu nasisitiza hizi ni taarifa za kuaminika zaidi. nimewasilisha kutoka hapa Mombasa
wakuu na taarifa ninazopokea muda huu kutoka huko shinyanga kahama kutoka mdomoni mwa Tundu lissu amemtaja mgombea urais ukawa ni DK Slaa
 
Back
Top Bottom