nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Kikao kimemalizika na kutoka na azimio hilo, kwamba Jumamosi atajulikana rasmi mgombea
haa haa mkuu ndo demokrasia ya ukawa hiyo? kwani wangapi wamechukua fomu?
Kikao kimemalizika na kutoka na azimio hilo, kwamba Jumamosi atajulikana rasmi mgombea
Umenena mkuu MsakaGamba, ila umekuja kuharibu huku mwisho, profesa kuzunguka ni mbinu tuu ili kazi ikianza kampeni basi pasiwe na shaka!..kwa namna hyo ukawa wanauwezo wa kufanya mikutano ya kampeni ya urais 10kwa wakat mmoja, sehemu tofauti na watu tofaut na watu wakawapokea vizuri sana
Huku hakuna mvuto kwa sasa. Masikio ya watanzania yameelekea Dodoma.
Ameharibu kote, angekuwa ni mtu mwenye kufikiri kwa mapana wala asingeleta maoni ya namna hii maana yanahamasisha mgawanyiko badala ya mshikamano ndani ya UKAWA. Fikiria wafuasi wa CUF nao wakija na mawazo ya namna hii hali ya UKAWA itakuwaje?
Tupunguze kuleta maoni yenye mwelekeo wa kuchochea 'Usisi' na 'Uwao', ndiyo mgawanyiko wenyewe huo. Namalizia kwa kusema, maoni yake hayaonekani kuenzi malengo na madhumuni ya kuanzishwa kwa UKAWA, yamejaa chembechembe za kupandikiza migawanyiko ndani ya huo muungano.
Ukawa wanasubiri chama dume kwanza
UKAWA hawaendeshi mambo kwa mihemuko. Bado wako kwenye mchakato na sio Jumamosi kama unavyodhani. Hawo wamekudanganya. Sisi tuko kwenye UKAWA technical committee hatuwezi kuruhusu mbinu zetu zijulikane na maadui. CCM kwanza wachinjane huko Dom sisi tuna ratiba zetu tofauti na vikao vya CCM
ukawa wanamtafuta rais wa nchi si rais wa fm accademia so nilazima watumie akili na umakini sana katika kumpata mtu makini. siasa ni sayansi discipline that deals with systems of government na analysis of political activity and political behaviour naamini ni watu makini na wana intelligence ya kutosha kushugulikia mambo hayo na kujilinda na political threat kutoka mtaa wa lumumba ktk kipindi hiki cha uchaguzi