Leila Msangi
Member
- May 28, 2015
- 9
- 1
kama ni kwrli tunashkuru maana nilishaingiwa na hof ya kusambaratika ukawa yetu mungu ibariki ukawa tujitokezeni kujiandikisha ktk daftar Daar nadhan inaanza kesho
Mtei anamtaka Lema
Lowassa ndie mgombea UKAWA..mark my words ..yaani UKAWA wamedhamiria kuua CCM kabisa kwa kuinyonga...hawana muda wa kuwabembeleza, Lowassa ni hatarii
EBO! we vp si ukamuulize mwenyewe au kawaulize Magamba yenyewe huko sasa mi unaniuliza naishi na makomeo, au nilimpeleka makomeo kwa babu? We jamaa vp au umetoka usingizini. Geraraaiyaaaaaaa
Hivi kwani huko Chadema hakuna wanasiasa wengine wa kuweza kubadilisha SURA? Huyo Slaa kashindwa mara ngapi? Au ndio mwenye chama? Siasa za Bongo hovyoooooooo
kama ni kwrli tunashkuru maana nilishaingiwa na hof ya kusambaratika ukawa yetu mungu ibariki ukawa tujitokezeni kujiandikisha ktk daftar Daar nadhan inaanza kesho
Magamba sijui yatakimbilia wapi kukata rufaa
Hivi kwani huko Chadema hakuna wanasiasa wengine wa kuweza kubadilisha SURA? Huyo Slaa kashindwa mara ngapi? Au ndio mwenye chama? Siasa za Bongo hovyoooooooo
Magambaz lazima yatoe machozi mwaka huu
Dogo Low Assa anakuja kuwafariji teh teh teh tehView attachment 269997
acha Hasira mwenzako Nicholas yupo wapi?Huna hujualo kisiasa ndugu