Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Kesho tarehe 30.04.2015 kutakuwa na Press Conference ya UKAWA Makao Makuu ya CUF , Buguruni saa sita kamili mchana .
Ni press muhimu maana inaenda kutoa taarifa za vikao vyake vya siku nne mfululizo kwani kamati yake ya ufundi ilikaa kwa siku mbili na viongozi wakuu wakakaa kwa siku mbili mpaka usiku huu na kumaliza kufanya maamuzi ya msingi.
Wale waliokuwa wanafikiri UKAWA utaporomoka na wale waliokuwa wakifanya propaganda, wanaalikwa kwenda kuujua ukweli wa UKAWA kesho.
Naomba kuwasilisha .