UKAWA Kufanya Press Conference Kesho (Aprili 30, 2015) Makao Makuu ya CUF

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Kesho tarehe 30.04.2015 kutakuwa na Press Conference ya UKAWA Makao Makuu ya CUF , Buguruni saa sita kamili mchana .

Ni press muhimu maana inaenda kutoa taarifa za vikao vyake vya siku nne mfululizo kwani kamati yake ya ufundi ilikaa kwa siku mbili na viongozi wakuu wakakaa kwa siku mbili mpaka usiku huu na kumaliza kufanya maamuzi ya msingi.

Wale waliokuwa wanafikiri UKAWA utaporomoka na wale waliokuwa wakifanya propaganda, wanaalikwa kwenda kuujua ukweli wa UKAWA kesho.

Naomba kuwasilisha .
 
Naona kuna dalili za ushindi kuelekea magogoni.

Alafu gazeti la Mtanzania sijiu nao watahudhiria?!
 
Kwani ulishawahi kuwa na mashaka?

Nina mashaka kidogo kwani sijaju nani atakuwa amepitishwa kugombea uraisi.

Ukweli ni kwamba,Dr.Slaa ndio atakaeweza kuleta ushindani na ninategemea atakuwa amepitishwa ingawa hata hiyo kesho wanaweza wasimtaje kwanza.

Dr.Slaa akipitishwa mashaka yangu juu ya Ukawa kufanya vizuri yatatoweka.

Lipumba agombee ubunge.
 
habari muhimu, kwa wakati muhimu

cc: mhariri gazeti mtanzania mamayo zako
 
Kuporomoka na kupaganyika kwa UKAWA kupo na kutatokea ndani ya muda mfupi ujao....ni swala lamuda tu. Tofauti za vyama hivi kiitikadi ni kubwa sana kuliko kinachowaunganisha "Madaraka na vyeo"
 
viongozi wa ukawa kaeni mufanye maamuzi magumu musichague wagombea ubunge tu bali muchague na mgombea urais bila hivyo mkileta maamuzi hayo kwa wananchi mtasababisha mgawanyiko mkubwa utaotengenezwa na ccm wenyewe katika process nzima kama itakuwa nikupiga kura kila mkoa ccm wataudaka mchakato mzima kwa nguvu ya fedha watauvuruga sisi wananchi tunawasubiri mtuletee wagombea kwani tumeichoka ccm tunataka mabadiliko.
 
Kuporomoka na kupaganyika kwa UKAWA kupo na kutatokea ndani ya muda mfupi ujao....ni swala lamuda tu. Tofauti za vyama hivi kiitikadi ni kubwa sana kuliko kinachowaunganisha "Madaraka na vyeo"
Mtasubiri sana gambas, nyinyi endeleeni kuiba vya mwisho mwisho kabla hatujataifisha kila mlicholiibia hili taifa
 
Lisemwalo lipo! Kama ukawa isingekuwa inajumuisha chadema tungedhani labda itadumu lakini uwepo wa cdm ni ishara tosha kuwa lazima ife tu
 
Pongezi kwa UKAWA Mungu awasimamie wafikie maridhiano ya kuchukua dola. Please mtoa uzi kama utakuwepo uwezekano wa kutupatia Updates na ufanye hivyo. Thank for information.
 
Back
Top Bottom