nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
na hizo serikali 2 zina faida gani kwa watanzania? Ndo zinatuongezea kero za muungano au kupunguza?hivi hizo serikali tatu zina faida gani kwa taifa? ndio zitatuondolea umasikini?
na hizo serikali 2 zina faida gani kwa watanzania? Ndo zinatuongezea kero za muungano au kupunguza?hivi hizo serikali tatu zina faida gani kwa taifa? ndio zitatuondolea umasikini?
haa haa,kweli maccm yanapumulia mashine!Serikali tatu ndio zinafaida kwan wasakatonge watapata nafasi ya kutawala. Ndg si unajua tena ile juisi ya ikulu ni shida ukishaonja unatamani kuchonga mznga...
Unafurahia hayo machafuko au? Kwenu hamna watoto na akina mama nini?
hichi ni kikundi haramu!
Serikali tatu ndio zinafaida kwan wasakatonge watapata nafasi ya kutawala. Ndg si unajua tena ile juisi ya ikulu ni shida ukishaonja unatamani kuchonga mznga...
na hizo serikali 2 zina faida gani kwa watanzania? Ndo zinatuongezea kero za muungano au kupunguza?
Serikali mbili zimekuondolea umaskini au kwako buku kwa siku tayari ni utajiri?
Wananchi wa Tanzania msiwadhanie ni wajinga kufuata kila wanalotaka ukawa. Mnajidanganya. Mtaaibika.Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa wananchi dhidi ya wale ccm wanao kataa maoni ya katiba ya wananchi,timu ya wabunge,madiwani,wanaharakati na watu maarufu nchini watagawana kata za mkoa wa dar kupiga mikutano ya hadhara kwa siku 4 mfurulizo na hatimae kuhitimisha mkutano wa hadhara mkubwa jangwani ambao timu nzima ya ukawa bara na znz itakuwepo jangwani,hivyo wananchi jiandaeni na kuwapokea ukawa dar kwa fujo!ccm hawaponi kwa dhambi ya kunyonga maoni ya wananchi
Kule wanadanganyika ila siyo Dar hapa ni bongo bhana mbululazi wako huko
Wakawadanganye arusha na moshi na kibanda maiti dar hakuna ----
we waonaje? Inaonekana ni mweupe kwelikweli..sasa huyo raisi wa tanganyika atakaa ikulu gani? au watabanana marais wawili wa muungano na wa tanganyika pale magogoni?
Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa wananchi dhidi ya wale ccm wanao kataa maoni ya katiba ya wananchi,timu ya wabunge,madiwani,wanaharakati na watu maarufu nchini watagawana kata za mkoa wa dar kupiga mikutano ya hadhara kwa siku 4 mfurulizo na hatimae kuhitimisha mkutano wa hadhara mkubwa jangwani ambao timu nzima ya ukawa bara na znz itakuwepo jangwani,hivyo wananchi jiandaeni na kuwapokea ukawa dar kwa fujo!ccm hawaponi kwa dhambi ya kunyonga maoni ya wananchi
ebu wewe nieleze faida ya hizo serikali 2 kwanza!hebu nieleze faida ya serikali tatu kwa maendeleo ya taifa.. mimi sioni faida yoyote zaidi ya kuongeza umasikini tu kwa watanzania
Dar hakuna ndugu zao make wachaga wako kimara tu.
Dar hakuna ndugu zao make wachaga wako kimara tu.