Ukawa kuanza oparesheni mkoa wa dar 6/8/2014

Ukawa kuanza oparesheni mkoa wa dar 6/8/2014

Wamewatoa kwenye escrow na sasa wamewahamishia kwenye katiba mpya.

Wanajua fika ile IMTU isingeweza kuwasahaulisha vilivyo.

Hadi watanzania watapoachana na kuumbatia unafiki vifuani mwao ndipo mungu ataleta nusura kwa taifa hili.

Unless otherwise CCM itawatalawa hadi muingie makaburini.
 
Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa wananchi dhidi ya wale ccm wanao kataa maoni ya katiba ya wananchi,timu ya wabunge,madiwani,wanaharakati na watu maarufu nchini watagawana kata za mkoa wa dar kupiga mikutano ya hadhara kwa siku 4 mfurulizo na hatimae kuhitimisha mkutano wa hadhara mkubwa jangwani ambao timu nzima ya ukawa bara na znz itakuwepo jangwani,hivyo wananchi jiandaeni na kuwapokea ukawa dar kwa fujo!ccm hawaponi kwa dhambi ya kunyonga maoni ya wananchi
Ndugu yangu Riziki Magembe Nina ujumbe mmoja, jitahidi sana ukiandika thread yako basi iwekee paragraph na capital letters! Pia ujitahidi sana kufanya proof reading kabla hujapost kwani si tu humu JF hata kwa ujumbe wa simu uutumaa basi utakuwa ni ujumbe sahihi.

Yaani siku zote thread zako Kama ameandika mtoto wa awali, Kiswahili kibovu, lugha mbovu yaani shida tu! Wee ni kijana mwenzangu na dunia hii ni zaidi ya ushabiki wa vyama vya siasa! Jitahidi kuwa smart kwa kila kitu ukifanyaacho kwani kwa mwenendo huu hata Bavicha huwezi pata sahau!

Muda unao soma vitabu na jinsi ya uandishi Mzuri utakusaidia sana maishani mwako! Leo nimekukumbusha Kama kijana mwenzangu! Asante sana!
 
..mtaendelea na bunge la uchakachuaji huku mkiwaibia wanyonge bilioni 24, ambazo zingenunua dawa, zingejenga nyumba za walimu nk. Kinachokwenda kufanyika dodoma ni utapeli na ufisadi!

Sio dawa na nyumba za walimu shule za bagamoyo ziko karibia na barabara hazina hata mabati na ukiangalia watu wamerithika may be RIDHIWANI ABADILISHE MAMBO
 
UKAWA...(Umoja wa Katiba ya Wasakatonge) nackitika sana kuona wasomi wakiunga mkono maslahi ya wa2 wachache a.k.a wasakatonge~wanaoufahamu ukweli lkn wameamua kuupotosha umma kwa faida yao wenyewe
teh teh, mkuu wasaka tonge wameanza kusogea dodoma kuanzia tar. 5 august.
 
UKAWA...(Umoja wa Katiba ya Wasakatonge) nackitika sana kuona wasomi wakiunga mkono maslahi ya wa2 wachache a.k.a wasakatonge~wanaoufahamu ukweli lkn wameamua kuupotosha umma kwa faida yao wenyewe

duh! sasa hapo nani wanasaka tonge kati ya CDM na CCM na hao walioteuliwa na kikwete. Na nani ali sign hiyo katiba iingie bungeni si angechomoa toka mwanzo watu waelewe sio wanaleta ujinga wakati kiongozi wa nchi keshapitisha
 
Wewe Riziki Magembe una cheo gani CDM? Are you a Public Relation Officer? Umechukua nafasi ya Tumaini? Au nafasi ya Molemo?

Naona unajikomba sana kwa CDM au we ndio Yule wa Muheza unataka kugombea Bavicha? Halafu wee ni Muislam unategemea kushinda Bavicha? Pole saana!
nani amekutuma kuwasemea waislamu? Acha umburula wewe!
 
Wafanye haraka waje wazomewe ila sisi tutakuwa tunaendelea na bunge la katiba.
Umeopanga katika maisha yako kujitoa ufahamu kwa muda gani? Maana inatakiwa ujirudi haraka kabla ya watoto wako hawajaanza kukuona mwehu.
 
Mko tanzania hii watu kama wewe kweli duh. Au baba yako mbungee nini so lazima umwunge mkono.Mbona Dar watu wanataka serikali tatu kuliko hata Arusha na Moshi watu wanavyodhani, na kama wewe unauzalendo unajua kiasi gani kimetumika na ni kodi yako na yangu kumzungusha Mzee warioba kuchukuwa maoni hayo. Na nini hasa kinawafanya wakatae serikali tatu si bado na sisi tutapiga kura kama wananchi hawaitaki si kura zitaamua. Simiyu kuwa kama mtu ulieenda shule kidogo mimi mwenywe ni CCM ila kwa upande wa katiba mjomba alikosea sana tena sana na sasa nadhani kila akikaaa anajilaumu wewe mwenyewe uipitishe ijadiliwe then wewe mwenyewe unaweka vizuizi si angaikataa toka alipopewa fununu na usalama wa taifa kuwa mambo yanaendaje
mkuu huo ndo ukweli, kwenye jambo la katiba ni taifa kwanza, hatuwezi endekeza tofauti zetu za vyama kwenye jambo hili kamwe, yaani wananchi kusimama kwenye misururu mirefu kutoa maoni yao, halafu kikundi cha wahuni wachache kiyaondoe kirahisi tu? Kamwe haiwezekani, watanzania tushikamane dhidi ya utapeli huu wa kisiasa!
 
Wamewatoa kwenye escrow na sasa wamewahamishia kwenye katiba mpya.

Wanajua fika ile IMTU isingeweza kuwasahaulisha vilivyo.

Hadi watanzania watapoachana na kuumbatia unafiki vifuani mwao ndipo mungu ataleta nusura kwa taifa hili.

Unless otherwise CCM itawatalawa hadi muingie makaburini.
ni kweli mkuu ccm inatawala na sio kuongoza, watanzania tuamke dhidi ya matawala hawa madikteta, wameweka utawala wa kijeshi kimyakimya mtwara wananchi wamenyimwa haki zao za kukusanyika kisa kuwaibia gesi yao, sasa hivi wanatumia ubabe kuchakachua maoni ya wananchi!
 
hivi hizo serikali tatu zina faida gani kwa taifa? ndio zitatuondolea umasikini?
 
Ukawa kwa watanzania wote asante sana ukawa ccm lumumba msituchoshe
 
hivi hizo serikali tatu zina faida gani kwa taifa? ndio zitatuondolea umasikini?

Serikali tatu ndio zinafaida kwan wasakatonge watapata nafasi ya kutawala. Ndg si unajua tena ile juisi ya ikulu ni shida ukishaonja unatamani kuchonga mznga...
 
Back
Top Bottom