Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,387
Utasikia kova kagoma kuwapa vibali
Awape tu, wayapate maoni ya wananchi sasa.
Utasikia kova kagoma kuwapa vibali
Dar hakuna ndugu zao make wachaga wako kimara tu.
Kule wanadanganyika ila siyo Dar hapa ni bongo bhana mbululazi wako huko
Dar hakuna ndugu zao make wachaga wako kimara tu.
Wafanye haraka waje wazomewe ila sisi tutakuwa tunaendelea na bunge la katiba.
Kweli kabisa Mkuu. Dar hawana chao UKAWA. Wataaibika bureDar hakuna ndugu zao make wachaga wako kimara tu.
Kweli kabisa Mkuu. Dar hawana chao UKAWA. Wataaibika bure
Kule wanadanganyika ila siyo Dar hapa ni bongo bhana mbululazi wako huko
ni kweli hasa kwa maccm na makuwadi wenzao. Ukawa songeni mbele.!hichi ni kikundi haramu!
Dar hakuna ndugu zao make wachaga wako kimara tu.
teh teh, labda wanyonge wa lumumba na korido zake!bila ukawa katiba itakuwa bora kwa maslahi ya wananchi na wanyonge
..mtaendelea na bunge la uchakachuaji huku mkiwaibia wanyonge bilioni 24, ambazo zingenunua dawa, zingejenga nyumba za walimu nk. Kinachokwenda kufanyika dodoma ni utapeli na ufisadi!Wafanye haraka waje wazomewe ila sisi tutakuwa tunaendelea na bunge la katiba.
Wewe Riziki Magembe una cheo gani CDM? Are you a Public Relation Officer? Umechukua nafasi ya Tumaini? Au nafasi ya Molemo?
Naona unajikomba sana kwa CDM au we ndio Yule wa Muheza unataka kugombea Bavicha? Halafu wee ni Muislam unategemea kushinda Bavicha? Pole saana!