UKAWA Bai Bai, ndio habari ya Mjini

Mumewaokota kwa fedha na malori harafu mwajigamba, dah! Poleni sana. Wote hao ni UKAWA kwa taarifa yako. Waji danganya sasa ndugu

Nyie ccm ndio mmepanic mnahaha huku na kule kununua watu mara wasanii hamjielewi.

fiesta fiesta....

Mwanzilishi wa alinselema ni lowassa kwenye kura za maoni

Hatuogopi chochote tukutane 25/10/2015

Tangu lini nyumbu akawa na uwezo wa kufikiri?
 
Hawa fisiemu na vipropaganda vyao vya kitoto. Wanafikiri watanzania wako nyuma yao. Magufuli hana mvuto ndo maana wasanii wanatumika kuvuta watu, pia mama samia katengwa na wanawake wengine kama makinda Sofia simba , asha rose migiro n.k hata anaamua kuzunguka na kina wema sepetu. Mwaka huu ccm hachomoki hata kwenye tundu la sindano
 
12079196_848740098558075_7838069293272199765_n.jpg


12122575_848739648558120_224799890603969867_n.jpg


12096045_848739788558106_8120159411489596384_n.jpg


UKAWA wakiona hizi picha lazima WAPANIKI.

Mkuu kwa sasa ADUI NAMBA MOJA wa Taifa hili ni CCM, Tushirikiane kumuondoa mnyonyaji huyu wa Mali ya UMMA.

Ikatae CCM, ili uweze kuikataa KATIBA YA CHENGE NA SITTA.
 
Mkuu kwa sasa ADUI NAMBA MOJA wa Taifa hili ni CCM, Tushirikiane kumuondoa mnyonyaji huyu wa Mali ya UMMA.

Ikatae CCM, ili uweze kuikataa KATIBA YA CHENGE NA SITTA. Kwa manufaa yetu sote na manufaa ya vizazi vijavyo.
 
we Mr. Chin ni Nape nini.
Hata hivyo maudhurio ya watu si issue...na uelewe 65% ya watu hao wanamsikiliza Diamond Platinums na wanawapigia UKAWA. Shauri yako
 
Back
Top Bottom