UKAWA Bai Bai, ndio habari ya Mjini

ikatamwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
250
225
CCM ndioa habari ya mujini. .hatuyumbishwi na galasa letu wenyewe ..hapana chezea chama kubwa hiyoo
 

monges

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
1,040
1,500


UKAWA wakiona hizi picha lazima WAPANIKI.
Najua mavi yanawabana sana, na wamepanic sana, waswahili wanasema samaki anapokuwa majini huwa anakuwa na nguvu sana, lakini ukimtoa ndani ya maji anapoteza nguvu za asili, Lowasa kwa sasa hana nguvu tena, Lowasa alisema watu wakishapiga kura waondoke hiyo kazi ya kutangaza mshindi yeye ataifanya, sasa baada ya kuona hali ni ngumu na yy kaamua kuungana na Mbowe kupiga kelele kuhusu tume, na safari hii sina hakika baada ya uchaguzi nn kitaendelea kwenye vyama vyao ndani ya ukawa.
 

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,292
1,500
Mumewaokota kwa fedha na malori harafu mwajigamba, dah! Poleni sana. Wote hao ni UKAWA kwa taarifa yako. Waji danganya sasa ndugu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom