UKATA: Biashara ya maji ya kunywa yaanza kudoda

UKATA: Biashara ya maji ya kunywa yaanza kudoda

Ni cheaper sab utachemsha mengi kwa wakati mmoja na kuyahifadhi


Kuchemsha maji mengi kwa wakati mmoja pia ni gharama ya gesi na umeme.

Hata maji ya kununua unaweza kupata mengi kwa wakati mmoja. Dumu hkubwa la lita 20 za Uhai ni shilingi 4,000/=.

Sasa, sijui kuchemsha lita 20 ni gesi ama umeme wa shilingi ngapi.
 
Ukata unaweza kuwa sababu ila hata hali ya hewa ya mwaka huu Dar imekuwa tofauti sana. Kuanzia mwezi wa tatu hadi wa saba, Dar huwa na joto sana. Ila mwaka huu ni joto la kawaida
 
Back
Top Bottom