Imemshinda Kwa kufa biashara ya maji?Bdo watu wapo wanaongoza nch..sijui kwann hataki kuachia maana imemshinda yy bdo yupo tu..
Imemshinda Kwa kufa biashara ya maji?Bdo watu wapo wanaongoza nch..sijui kwann hataki kuachia maana imemshinda yy bdo yupo tu..
Saafi saana...bye bye ghost economy.Na biashara ya bodaboda wale waliozoea kupanda hata sehemu fupi kwa sasa wanatumia tz 11 yaani miguu kusave badget hakuna ubishow tena kwa sasa!!!!.
Mkuu ndiyo sababu ya Kilimanjaro kupunguza bei???Ni msimu wa mvua kwa hiyo kunywa maji kunapungua sana kwa wakazi wa Dar, hilo linajulikana kitabibu, muulize hata kijana wa Dukani kwa mangi atakupa jibu mubashara
Lazima afurahie nchi kuachana na uchumi wa hewa kwenda kwenye uchumi halisi wenye faida kwa wananchi wa kawaida mpk serikali.Baba Jesca anafurahia sana
Uchumi wa kweli ndio huu bodaboda ni nyingi kuliko abiria sasa vijana wabuni biashara nyingineSiku moja nimekodi boda boda yule dereva akasema Alhamdulirahi! Sikuamini kuwa hata dereva wa boda boda kupata abiria imekuwa ni shida kiasi hicho...
Ni cheaper sab utachemsha mengi kwa wakati mmoja na kuyahifadhiKwani kuchemsha maji ni cheaper?
Hongera sana,mazoezi kwa afya bodaboda ni starehe.
We jamaa una roho mbaya sana !Uchumi wa kweli ndio huu bodaboda ni nyingi kuliko abiria sasa vijana wabuni biashara nyingine
Ukweli ndivyo ulivyo hauchagui upandeWe jamaa una roho mbaya sana !
Acha waisome namba
Kweli kabisaHahaha! Wakuu sasa hivi hata kuzunguka na daladala ili uwahi siti tabia imeisha! Baadhi waliofanikiwa kuwa na magar kama nguo wanauza walau waweze kwenda na hali ya uchumi! tumeanza kuishi maisha kama digidigi! Its xo pain especially tuliopanga kuoa maana ndoto zimeyeyuka tumebaki kuhairisha kama vikao vya mjengoni!
SawaLazima afurahie nchi kuachana na uchumi wa hewa kwenda kwenye uchumi halisi wenye faida kwa wananchi wa kawaida mpk serikali.