Ukaribu wenye kutia shaka sana

Ukaribu wenye kutia shaka sana

omba tu radhi, kwani nafsi yako inasadiki.
sccr.jpg
cristiano-0_640x345_acf_cropped.jpg
naomba radhi Kama hizi picha hazisadifu nilichoandika
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji85] [emoji15]

Mkuu tulia kwanza. Maliza hayo masuala mazito yanayokukabili kwanza. Haya masuala ya uhusiano wa karibu utayakuta. Pole sana ndugu yetu. Mungu awape faraja katika wakati huu mgumu.
 
Mkuu tulia kwanza. Maliza hayo masuala mazito yanayokukabili kwanza. Haya masuala ya uhusiano wa karibu utayakuta. Pole sana ndugu yetu. Mungu awape faraja katika wakati huu mgumu.
Aaaamen Tabby thanks sana[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Kwa uzi huu umetaka kuelezea nini haswa na kwa kumuingiza Mkuu wa nchi!?
 
heshima ni jambo muhimu katika maisha, sidhani kama umetumia heshima maana hizi taratibu za kimagharibi kama zinatumika na kila mtu. je wewe watembea kushotoni na mkewe tu. Ifike mahala tupunguze chuki kwani chuki zitatumaliza bure huenda yule unayemchukia hajui hata kama unamchukia. Heshima!

Usishangae ndugu, hizo ndio akili zetu wabongo. Hiyo picha inaongea mengi sana lakini limeonekana hilo tu la RC kukaa kushoto ya Rais.
Nway kila mtu kaumbwa na akili yake na kila mtu anaamua nini cha kufikiri anapoona jambo.
 
Back
Top Bottom