Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,737
- 861,132
- Thread starter
- #21
Asante sana but tunahitaji kitengo ambacho kitaweka wajibu na taaluma mbele kuliko mahaba binafsi.. Haya mambo yana athari zakePole sana kwa kuondokewa mkuu, nadhani lengo kuu la hiyo arrangement hapo ilikuwa ni kuhakikisha mkuu wa mkoa hakatwi katika hiyo picha na arudi katika kurasa za mbele za magazeti.