Kuna yeyote nimemvunjia heshima hapa? Ikithibitika nitaomba radhi
Nini mantiki ya hii post yako Mshana?
Hivi hata marais wa nchi nyingine wakati wote huwa wanapiga picha wake zao wakiwa sided nao? Hakuna matukio ambayo wake zao huwa angalau mbali kidogo nao?
Unaweza kuwa na wazo zuri lakini uwasilishaji wake ukaonekana mbaya.