Ukarabati wa vinu vya gesi Songosongo wafikia 30%, mgao wa umeme umepungua

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,940
141,915
Msemaji wa Tanesco ndugu Mwambene amesema ukarabati wa vinu vya gesi huko Songosongo umefikia 30% kufikia leo.

Mwambene amesema ndani ya siku 10 hali ya umeme itarejea kama kawaida kwani hata sasa mgao umepunguzwa sana.

Source: ITV habari
 
Wapi huko umepungua wakati leo tumeshinda kutwa nzima bila umeme?

Siku hizi siasa kila mahala, sio wataalamu wala wanasiasa, wote kamba kwenda mbele.
 
Sema hili swala la umeme kuna siasa na nyingi sana plus faulo za hatari.
Funguka boss, maana wataalamu wenyewe wanaosemewa kuwa wana matengenezo wanashangaa 🤣🤣🤣

Mara matengenezo ya mitambo nchi nzima, kwa siku 10, mara wanasafisha visima vya gesi, mara wanafanya upanuzi wa visima kuongeza mgandamizo wa gesi.

Wenye akili, mbona haikonekti!
 
Msemaji wa Tanesco ndugu Mwambene amesema ukarabati wa vinu vya gesi huko Songosongo umefikia 30% kufikia leo.

Mwambene amesema ndani ya siku 10 hali ya umeme itarejea kama kawaida kwani hata sasa mgao umepunguzwa sana.

Source: ITV habari
Ukarabati umefikia asilimia ngapi kwa sasa??
 
Back
Top Bottom