Ukarabati wa nyufa za majengo ya UDSM waanza

Ukarabati wa nyufa za majengo ya UDSM waanza

nashangaa hawajatumbuliwa hadi leo


Pana mtu , aliandika kwenye ule Uzi wa expansion joints na settling kuwa TBA ni mfupa unaopendwa.

Kwa hiyo, utasubiria sana ila hiyo nasikia haitatokea katu.
 
Sasa kama hizo nyumba ni expansion joint za kawaida, kwa nini wanafanya ukarabati tena? shame engineer.
Hawa ndio wanaofanya hii fani wote tuonekane wapuuzi. Tunazarauliwa hadi na wakuu wa wilaya.
Jinga kabisa hilo.
 
Tena wanadai kuwa wanaondoa plasta ili kujua tatizo liko wapi!
Halafu wanatuambia kuwa ni expansion joint na waliitegemea
Hii inaonyesha nikiasi gani hata tunaojua maana ya expansion joint tunaonekana mazuzu.
Kama kitu kidogo hivyo kinawashinda, vipi kuhusu hiyo slab.
 
Expansion joints cracks toka lini zikafanyiwa ukarabati?! Nchi hii iko na wasomi wapumbavu kupita kiasi, wakati wanahadaa umma kuwa zile zilikuwa ni expansion joints za kawaida ili hali wakijua wanasema uongo ilikuwa kwa manufaa ya nani?! Awamu hii tutashuhudia mengi sana!
Wanajua watanzania wengi hawajaenda shule huku wamesahau kuna shule nyingi za kata, shule binafsi mpaka vyuo.
Suala za kipansion joint hizo siyo ni nyufa. Expansion join huachwa pind wanapofanya ujenzi na huwa ktk mpangilio maalumu.
Ndiyo yale yale ukiwa na cherehan 4 ni kiwanda au wakuu wa mikoa ni wanasiasa.
 
Kwa nini hizo nyufa zinakarabatiwa wakati tuliambiwa walizitegemea na hazina madhara na walidai ni expansion joints nadhani. Kuna nini tena?
 
Sasa kama hizo nyumba ni expansion joint za kawaida, kwa nini wanafanya ukarabati tena? shame engineer.
Halafu anasema walizitarajia.

Huyo ni Engineer. [emoji23]
 
Kodi zetu zinatumika tena kutatua matatizo ya UZEMBE wa wachache.

Tutakoma
 
Back
Top Bottom