Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

ezoo

Member
Joined
Aug 22, 2025
Posts
22
Reaction score
22
Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa madarasa 3 na mengine mawili kuyamalizia pia kujenga matundu nane 8 ya vyoo
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    143.5 KB · Views: 20
Serikali chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluu Hassani imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa madarasa 3 na mengine mawili kuyamalizia pia kujenga matundu nane 8 ya vyoo
Hii sioni kama ni habari mkuu, sababu serikali imetimiza wajibu wake hata kama nchi ingekua inatawaliwa na wale wanao vaa mabakamabaka
 
Tupe habar kuu kama uko na uwelewa nzur
 
Back
Top Bottom