kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
- Thread starter
- #61
Wamerogwa na aliyewaroga kafa!Halafu wanamsingizia PolePole
Wamerogwa na aliyewaroga kafa!Halafu wanamsingizia PolePole
la kwako ndio limezidi , si umeliona hapo , au unajifanya hulioni?Bado unatema mapovu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maccm pua zinawatanuka mkisikia Mbowe kaungurumala kwako ndio limezidi , si umeliona hapo , au unajifanya hulioni?
wanajidai hawaoniWewe bado unataka mikakati wakati watu wapo kwenye vitendo!
Unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wakati wanafunzwa na Mapropesa?Hivi kwa sasa tukiwa na debate ya general knowledge in East Africa Tz kweli vijana wetu wataongea nini .? Naona kama tunaporomoka kwa kasi. Hata University students wetu sasa no critical thinking,no questioning at all. Kilichobaki ni vyama. I was shocked a university student does not know why we fought for independence in 1961 ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Machadema mnaweweseka , anakongurumia wapi ? Huko ufipa? CCM inawahusu nini?Maccm pua zinawatanuka mkisikia Mbowe kaunguruma
Sasa mbona mnashupaza shingo Mbowe atoke, tokea lini maccm yakaitakia mema Chadema, pua zitawatanuka sanaMachadema mnaweweseka , anakongurumia wapi ? Huko ufipa? CCM inawahusu nini?
Clip ya mwaka 47 mtanyooka tu awamu hii...Hiyo style inapaswa kufanyika nchi nzima mpaka waone soo.
Ondoa mashudu yako hapa, CCM ni chama dume , acheni kulialia na wivu wa kikeSasa mbona mnashupaza shingo Mbowe atoke, tokea lini maccm yakaitakia mema Chadema, pua zitawatanuka sana
Sasa kama ni chama dume kwanini hamjiamini mkaweka uwanja Sawa wa siasa tuone kama nyie ni vidume au mteteaOndoa mashudu yako hapa, CCM ni chama dume , acheni kulialia na wivu wa kike
dume na jike hawana uwanja sawa, ndoa ni lazimaSasa kama ni chama dume kwanini hamjiamini mkaweka uwanja Sawa wa siasa tuone kama nyie ni vidume au mtetea
We nawe. Kima ana afadhali.Mambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.
Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.
Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.
Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!
Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
Mbowe anapitia changamoto sana, amezungukwa na watu wa system wengi tuuu. Prof. Baregu ni mtu wa system kitambo sana.Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.
Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.
Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.
Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.
Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.
Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!
Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
Wewe unaonekana ndio una bangi kuna sehemu yeyote kwenye hiyo mistari imetajwa chadema!Upuuzi mtupu
Kichwa cha habari kinasema ni CCM lkn ukisoma habari yenyewe uchwara wanasemwa CDM
Vijana mkivuta bange acheni kuandika pls
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu hilo ndio unaligundua leo!Mbowe anapitia changamoto sana, amezungukwa na watu wa system wengi tuuu. Prof. Baregu ni mtu wa system kitambo sana.
Kuondoka kwa Dr. Silaha ni pengo kubwa sana, ambalo watu Wengi hawakuona kama ni doa kubwa. Sasa ndio watu wanaanza kuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu hilo ndio unaligundua leo!
hebu endesheni nchi vizuri kuizungumzia chadema ni sawa na mke wa jirani kuona wivu kwa nyumba ya watu.tutengenezeeni nchi yetu na msitununulie tena ndege mbovu.Kwani umesikia mwanaccm gani anamzungumzia mbowe isipokuwa wanachadema wenyewe!
Kasuku wa kihindi huwa ana kariri tu,ndege gani mbovu!hebu endesheni nchi vizuri kuizungumzia chadema ni sawa na mke wa jirani kuona wivu kwa nyumba ya watu.tutengenezeeni nchi yetu na msitununulie tena ndege mbovu.