Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Mambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.

Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.

Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.

Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!

Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
Habari kama yajichanganya vile. Kwenye kichwa cha habari kuna CCM, lakini habari yenyewe yaonekana kuihusu CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom