Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
sasa Mbowe akimchagulia nini mtu mwenye kiapo kama huyo!Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.
Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.
Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app