Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.

Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.

Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kikiwa tegemeo lake ni mtu mmoja, basi hapo hakuna chama, bali ni mali yake. Mbowe ni binadamu jee kesho akifa ama kuugua na kushindwa majukumu. Chama kitakufa?

Tuache ujinga Chadema kuna watu wenye uwezo zaidi ya mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila Mbowe nikweli ni mwizi tukubali tu ukweli mbowe ni mwizi japo naipenda CDM lkn Mbowe ni mwizi kubalini ukweli Mbowe mwizi fedha nyingi sana za ruzuku hazijulikani nini zinafanya wanachadema wenzangu Mbowe mwizi
 
Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.

Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.

Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
I see !
 
Hiyo style inapaswa kufanyika nchi nzima mpaka waone soo.
Mnataka kurudisha yale yale ya kuzomea wana ccm kinachofuatia ni kuanza kupiga kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.

Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.

Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi leo mbowe akitangulia mbele ya haki ndio utakuwa mwisho wa chadema tuache mapenzi yaliyopitiliza tujitatafakari wajitafakari wamejikwaa wapi hili ni tatizo kubwa la viongozi kuhama viongozi wajitafakari
 
mpaka sasa bank 4 zimefungwa kwa hasara

Cement bei juu

sukari bei juu

tangu 2015 hadi leo hakuna salary increment

Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa biashara hakuna

Trilion 1.5 ya bajeti imefisadiwa kwa mujibu wa report ya CAG

kwa miaka 3 ya Magufuli deni la taifa limepaa kutoka Trillion 28 hadi Trillion 60.

"Watanzania tembeeni vifua mbere kama meza ya kamari we are one the raiti traki"
In the course of time changes something inevitable!!!
 
Tunajua sababu ya chama kupoteza majimbo ni mapanga visual na marungu kutoka kwa wazuia uhalifu.kifo kikiwajilia mkiibe kama mnavyoiba kura.uchumi umeshuka huko ninyi hangaikeni na mbowe tu na mhutu wenu.
 
Mnataka kurudisha yale yale ya kuzomea wana ccm kinachofuatia ni kuanza kupiga kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Hii itasaidia tabia ya huu wizi na uporaji wa kura kuisha.
 
Mdhibitini mwenyekiti wenu magufuli hata kwa kumchapa makofi kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Kusema u kweli Wa Mungu Mimi sijawahi kuwa na kadi ya chama tofauti na ya ccm kwa kulazimishwa na mwajiri wangu enzi hizo Mimi sipendi uonevu napenda haki lakini chama changu hiki kinapenda kucheza rafu mbinu za wizi wizi hata kwetu wenyewe ndani hakuna haki ukifuata haki unaachiwa manyoyaa Tanzania hakuna MWENYEKITI Wa chama mwenye mapenzi na chama kama Mbowe anamsimamo Wa dhati nakumbuka mwaka 1995 nilihudhuria kampani yake akiwa chama chake kimejiunga na nccr mageuzi kusema ukweli chadema ni chama cha umoja na kinapenda muungano naomba ccm sasa mbinu ya kumchafua Mbowe tuseme imeshashindwa na chadema KWA sasa kina wanachama wadhati ambao wanakipenda chama na Wa najuwa mbinu za ccm kukiuwa hakiwezekani kina mizizi ya wasomi wengi wanajitambua wengi ccm ni njaa tu inawaka siyo kuwa kinapendwa kwa dhati laah Mbowe hana ukabila
Asiwe na mapenzi wakati ni chama cha ukoo na familia?
 
Itasababisha vipigo na madhila zaidi kwa Chadema.

Cdm wanyamaze, wazomee vipigo ni haki yao kwani ndio wenye mvuto kwa wananchi hivyo si ajabu. Ila kumbuka hivyo vipigo vina muda na vinakaribia mwisho kabisa. Hutaamini upepo ukibabadilika utachecha kichina.
 
mpaka sasa bank 4 zimefungwa kwa hasara

Cement bei juu

sukari bei juu

tangu 2015 hadi leo hakuna salary increment

Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa biashara hakuna

Trilion 1.5 ya bajeti imefisadiwa kwa mujibu wa report ya CAG

kwa miaka 3 ya Magufuli deni la taifa limepaa kutoka Trillion 28 hadi Trillion 60.

"Watanzania tembeeni vifua mbere kama meza ya kamari we are one the raiti traki"
Mniombee
 
Back
Top Bottom