Ukahaba,uchangudoa na umalaya. . .. . . . . Kulikoni?

Ndugu yangu.....huyo mwanaume anayekwezwa kila siku siui anapatikana wapi, au anaishi sayari nyingine tofauti na hii dunia ambayo ni uwanja wa fujo kila uchao??? lol

Hapa sijakuelewa kabisaaaa!
 
Eiyer, maneno hayo yanaapply kotekote. 1.malaya ni mtu anayekuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja haijalishi ni mwanaume au mwanamke. 2.changudoa ni mtu anayejipanga kama mafungu ya nyanya barabaran akijiuza iwe ni kwa me/ke
3.kahaba ni mtu anayefanya mapenzi kama kitega uchumi both me/ke.
kwa hisani ya charminggirl
 
Kwa maelezo ya namba 2 na 3 unafikiri yanatofautiana?Na je ulishamwona mwanaume(siyo shoga)amejipanga barabarani wanawake wanakuja kumnunua anaenda kufanya nao ngono?
 
changudoa -anaejiuza tu.....kwa pesa

kahaba- anaehusika na umalaya,sio lazima awe malaya...hata kuongea tu
unaweza sema yule anaongea kikahaba.hata pozi au kuvaa...unaweza sema
anavaa kikahaba hata kama sio kahaba....ukahaba ni matendo kwa ujumla
yenye kuonesha umalaya wa aina fulani..

malaya- yeyote mwenye wapenzi wengi...huitwa hivyo.....its complicated kidogo...
 
The boss,sentensi yako ya mwisho kuwa ni complicated ndo jibu maana maelezo yako yamejichanganya sana!
 
Kwa maelezo ya namba 2 na 3 unafikiri yanatofautiana?Na je ulishamwona mwanaume(siyo shoga)amejipanga barabarani wanawake wanakuja kumnunua anaenda kufanya nao ngono?

2na3 vinatofautiana cos kahaba c lazma ajipange.tena hawa ni weng make ni watu wenye nyadhifa zao wanakubaliana thn wanafanya biashara kimya kimya. bt 2 wanajipanga smwhr waz waz. ndio kuna vijana huwa wanawategea wamama/wadada maeneo flan thn wanawambia kusuck k ni kias flan na kusuck nyuma ni kias flan
 
changudoa -anaejiuza tu.....kwa pesa

kahaba- anaehusika na umalaya,sio lazima awe malaya...hata kuongea tu
unaweza sema yule anaongea kikahaba.hata pozi au kuvaa...unaweza sema
anavaa kikahaba hata kama sio kahaba....ukahaba ni matendo kwa ujumla
yenye kuonesha umalaya wa aina fulani..

malaya- yeyote mwenye wapenzi wengi...huitwa hivyo.....its complicated kidogo...

umenena vema The boss,kuna watu hata mivao yao,micha
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/
 
The Boss well said, sawa kuna wengne hata mivao yao,michano yao,misuko yao,tembea yao ipo kishangingi hata akiingia smwhr watajua tu huyu ni shangingi/kahaba!
 
Bibie HEART... nenda kafanye homework yako vizuri ili uweze kutofautisha wafuatao:
Mwanaume - mvulana
Mwanaume - gumegume
Mwanaume - Sharobaro
Mwanaume wa kiume..... yaani mwanaume!

Mwanaume mwanaume hawezi kupumuliwa mgongoni wala kumpumulia mwanaume mwenzie mgongoni, PERIOD!!!

Kwahivyo mwanaume akipumuliwa sio mwanaume...ila mwanamke akiwa anamegwa na mwanamke mwenzie huyo ni msagaji mwanamke! Acheni hayo mambo bana....mwanaume ni yule tayari sehemu zake za siri ni za kiume whether anapumuliwa or not...likewise kwa mwanamke...!! Hakuna cha dictionary hiyo ni fact.
 
Last edited by a moderator:
i don't know the kiswahili terms but we have

1) players - a man who multiple girlfriends at a time

2)man wh*r* - a man who has casual sex with many women. it can involve money or just for fun

In red, what 'type' of men are those?

hujaitendea haki lugha ya malkia!
 
kwa hiyo mnataka kusema mashoga si wanamme?

Akiambiwa kuandika jinsia huwa wanaandika KE?

Wanamme bana, kila kibaya ni cha mwanamke.
:happy: sijasema gays ni wanawake...lakini pia sio wanaume.. gay mwenyewe ukimuita mwanaume anataka kupigana...wana penis kama wanaume wengine lakini sio wanaume. Inategemea wewe neno mwanaume unalielewaje
 
Wanajikataa tu,ila binadamu akishakuwa na 'Dushelele' then jinsia yake ni mwanaume...si tofauti ya hapo.
 
2na3 vinatofautiana cos kahaba c lazma ajipange.tena hawa ni weng make ni watu wenye nyadhifa zao wanakubaliana thn wanafanya biashara kimya kimya. bt 2 wanajipanga smwhr waz waz. ndio kuna vijana huwa wanawategea wamama/wadada maeneo flan thn wanawambia kusuck k ni kias flan na kusuck nyuma ni kias flan

You bring onother tatizo ,what about shugamamiz?
 
Back
Top Bottom